Skip to content
PodSubs
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEvents
More
BlogPodCred
Menu
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEventsBlogPodCredNetworksSign in
Join nowSign in
  • Shows
  • People
  • Jobs
  • News
  • More
    • Guests
    • Events
    • Blog
    • PodCred
    • Networks
    Join nowSign in
R

RFI KiswahiliUnclaimed

Host of Wimbi la Siasa.

1PodCred credit

1 Feed-stated

Counts Verified and Feed-stated credits: what a show's own feed states, or a confirmation backs. See the record

  • Host

Claim this profile+ Add a creditIs this you? Claiming needs a free account. You sign in or join, then come straight back here.

This is not me · Request removal

+ FollowConnectMessage

This profile is unclaimed. PodSubs built it from public show feeds and credits. The person it is about has not reviewed it yet.

About this profile

Profile
Unclaimed
Shows now
1

PodCred record

PodCred is the verified record of where RFI has worked and appeared. These credits come from the shows' own feeds and wait for people who were there to confirm them.

Worked with RFI on a show? This is where you give them credit.

+ Add a credit

Shows they work on now

1 show

  • Wimbi la Siasa
    Host Feed-stated

Is an appearance missing?

People get invited back because someone remembered they were great. If you heard this person on a show and it is not listed here, add it. Your memory might be the reason they get their next invitation.

No account needed. Anyone can give a credit.

Add an appearanceHow PodCred works

Experience, education, skills, and recommendations start empty. They fill in when RFI claims this profile.

Recommendations

ReceivedGiven

No recommendations for RFI yet.

Recommendations open once RFI claims the profile.

Posts

No posts yet. Posts RFI shares on PodSubs, and what RFI publishes on Substack, YouTube and elsewhere, will show here.

Recent episodes

From the shows they work on now

10 episodes
  • Umoja wa Mataifa wamaliza shughuli zake nchini Somalia

    Wimbi la Siasa

    Nov 18, 202610 minAudio

    Kuanzia mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka 2026, Umoja wa Mataifa ulitangaza kumalizika rasmi kwa shughuli zake za kisiasa na msaada nchini Somalia baada ya miaka zaidi ya 30. Mwaka 2024 serikali ya Somalia iliomba...

  • Fursa ya maridhiano ya kisiasa nchini Tanzania baada ya hukumu ya Tundu Lissu

    Wimbi la Siasa

    Nov 11, 202610 minAudio

    Novemba tarehe 6, Mahakama Kuu jijini Dar es salaam nchini Tanzania, ilimhukumu miaka minne jela Mwenyekiti wa chama cha upinzani CHADEMA, Tundu Lissu, kwa kosa la uchochezi, baada ya kumwondolea kesi ya uhaini...

  • Vitendo vya wakosoaji wa watawala Afrika Mashariki kutekwa nchini Kenya

    Wimbi la Siasa

    Nov 4, 202610 minAudio

    Kwa miaka mingi, Kenya imekuwa kama kimbilio kwa wanasisasa wa upinzani na wanaharakati wanaokimbia mataifa yao katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Hata hivyo, hali imebadilika. Wanasiasa na wanaharakati...

  • Uganda: Mazungumzo kuhusu hatima ya Kizza Besigye

    Wimbi la Siasa

    Oct 28, 202610 minAudio

    Waziri wa masuala ya Katiba nchini Uganda Norbert Mao, ametangaza kuwepo kwa mazungumzo ili kupata ufumbuzi wa kuendelea kuzuiwa kwa mwanasiasa mkongwe wa upinzani Kizza Besigye, anayekabiliwa na mashtaka ya uhaini....

  • DRC: Kabila aungana na M23 kuunda vuguvugu jipya la kisiasa na kijeshi

    Wimbi la Siasa

    Oct 21, 202610 minAudio

    Baada ya kuongoza nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa karibu miaka 20, rais wa zamani Joseph Kabila, ameungana na waasi wa M23 Mashariki mwa nchi hiyo na kuunda vuguvugu jipya la kisiasa na kijeshi linaloitwa...

  • Hali ya siasa nchini Kenya mwaka mmoja baada ya kifo cha Raila Odinga

    Wimbi la Siasa

    Oct 14, 202610 minAudio

    Ni mwaka mmoja, tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya na kiongozi wa muda mrefu wa upinzani Raila Odinga. Kufariki kwake dunia, tarehe 15 mwezi Oktoba mwaka 2025, kumeacha pengo kubwa kwenye siasa za nchi hiyo....

  • Chanzo cha kuzuka kwa vita vipya Kaskazini mwa Ethiopia

    Wimbi la Siasa

    Oct 7, 202610 minAudio

    Tangu tarehe 23 Septemba, mapigano mapya yameendelea kushuhudiwa Kaskazini mwa Ethiopia, kati ya vikosi vya serikali na wapiganaji wa Tigray. Nini kinaendelea Ethiopia na vita vina vinaweza kuvuka mipaka? Mchambuzi wetu...

  • Suluhu ya njiapanda ya kisiasa nchini Sudan Kusini

    Wimbi la Siasa

    Sep 30, 202610 minAudio

    Sudan Sudan inakabiliwa na mzozo wa kikatiba na kisiasa, kuelekea uchaguzi mkuu wa kwanza, uliopangwa kufanyika tarehe 22 mwezi Disemba mwaka huu. Rais Salva Kiir, anayetarajiwa kuwania, amebadilisha sheria ya uchaguzi,...

  • Kenya: Kwanini rais Ruto na mtangulizi wake wanatupiana maneno ?

    Wimbi la Siasa

    Sep 23, 202610 minAudio

    Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2027, vita vya maneno kati ya rais William Ruto na mtangulizi wake, Uhuru Kenya zimeshika kasi. Nini chanzo cha majibizano haya? Victor Abuso anachambua hili kwa kina na Edwin...

  • Hatima ya serikali ya umoja wa kitaifa visiwani Zanzibar

    Wimbi la Siasa

    Sep 16, 202610 minAudio

    Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi, amezindua Kamati ya pamoja ya majadiliano kati ya chama chake CCM na kile cha upinzani ACT Wazalendo, katika kile kinachoashiria hatua mpya katika mchakato wa maridhiano ya kisiasa...

Showing 5 of 10
Report this profile