
DRC: Kabila aungana na M23 kuunda vuguvugu jipya la kisiasa na kijeshi
Baada ya kuongoza nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa karibu miaka 20, rais wa zamani Joseph Kabila, ameungana na waasi wa M23 Mashariki mwa nchi hiyo na kuunda vuguvugu jipya la kisiasa na kijeshi linaloitwa FRN kumpinga rais Felix Tshisekedi na serikali yake. Nini athari za hatua hii ya Kabila na washirika wake kwa usalama na siasa nchini DRC? Tunachambua.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

