
Umoja wa Mataifa wamaliza shughuli zake nchini Somalia
Kuanzia mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka 2026, Umoja wa Mataifa ulitangaza kumalizika rasmi kwa shughuli zake za kisiasa na msaada nchini Somalia baada ya miaka zaidi ya 30. Mwaka 2024 serikali ya Somalia iliomba kufungwa kwa ujumbe huo. Hatua hii inamaanisha nini kisiasa na kiusalama kwa nchi ya Somalia? Tunachambua.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

