Skip to content
PodSubs
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEvents
More
BlogPodCred
Menu
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEventsBlogPodCredNetworksSign in
Join nowSign in
  • Shows
  • People
  • Jobs
  • News
  • More
    • Guests
    • Events
    • Blog
    • PodCred
    • Networks
    Join nowSign in

Wimbi la Siasa

Wimbi la Siasa artwork

Hali ya siasa nchini Kenya mwaka mmoja baada ya kifo cha Raila Odinga

Oct 14, 202610 minAudio
ShareXLinkedInFacebookWhatsAppEmail

Ni mwaka mmoja, tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya na kiongozi wa muda mrefu wa upinzani Raila Odinga. Kufariki kwake dunia, tarehe 15 mwezi Oktoba mwaka 2025, kumeacha pengo kubwa kwenye siasa za nchi hiyo. Chama chake cha siasa alichoasisi cha Orange Democratic movement (ODM), kikishuhudia migawanyiko. Nini hatima ya siasa za Kenya bila uwepo wa Odinga? Mgeni wetu wiki hii ni Alenga Torosterdt.

Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Hosts and Guests

Nobody is credited on this episode yet.

Credit the people on this episode

Be the first to rate this episode

More episodes

All episodes
  1. Umoja wa Mataifa wamaliza shughuli zake nchini Somalia

    Nov 18, 202610 minAudio

    Kuanzia mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka 2026, Umoja wa Mataifa ulitangaza kumalizika rasmi kwa shughuli zake za kisiasa na msaada nchini Somalia baada ya miaka zaidi ya 30. Mwaka 2024 serikali ya Somalia iliomba...

    Credit the people on this episode

  2. Fursa ya maridhiano ya kisiasa nchini Tanzania baada ya hukumu ya Tundu Lissu

    Nov 11, 202610 minAudio

    Novemba tarehe 6, Mahakama Kuu jijini Dar es salaam nchini Tanzania, ilimhukumu miaka minne jela Mwenyekiti wa chama cha upinzani CHADEMA, Tundu Lissu, kwa kosa la uchochezi, baada ya kumwondolea kesi ya uhaini...

    Credit the people on this episode

  3. Vitendo vya wakosoaji wa watawala Afrika Mashariki kutekwa nchini Kenya

    Nov 4, 202610 minAudio

    Kwa miaka mingi, Kenya imekuwa kama kimbilio kwa wanasisasa wa upinzani na wanaharakati wanaokimbia mataifa yao katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Hata hivyo, hali imebadilika. Wanasiasa na wanaharakati...

    Credit the people on this episode

  4. Uganda: Mazungumzo kuhusu hatima ya Kizza Besigye

    Oct 28, 202610 minAudio

    Waziri wa masuala ya Katiba nchini Uganda Norbert Mao, ametangaza kuwepo kwa mazungumzo ili kupata ufumbuzi wa kuendelea kuzuiwa kwa mwanasiasa mkongwe wa upinzani Kizza Besigye, anayekabiliwa na mashtaka ya uhaini....

    Credit the people on this episode

  5. DRC: Kabila aungana na M23 kuunda vuguvugu jipya la kisiasa na kijeshi

    Oct 21, 202610 minAudio

    Baada ya kuongoza nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa karibu miaka 20, rais wa zamani Joseph Kabila, ameungana na waasi wa M23 Mashariki mwa nchi hiyo na kuunda vuguvugu jipya la kisiasa na kijeshi linaloitwa...

    Credit the people on this episode