
Is this your show? Claim this page
PodCred
The people behind this show
People get invited back because someone remembered they were great.
PodCred is the verified record of who made this show. A credit here means people who were there confirmed the work.
Hosts
Who is on this show?
Think of the guest you still think about. The producer who makes the host sound smart. The editor who saves every episode. If a name is missing here, that person is invisible everywhere.
Add a creditEpisodes
24 episodesUmoja wa Mataifa wamaliza shughuli zake nchini Somalia
Kuanzia mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka 2026, Umoja wa Mataifa ulitangaza kumalizika rasmi kwa shughuli zake za kisiasa na msaada nchini Somalia baada ya miaka zaidi ya 30. Mwaka 2024 serikali ya Somalia iliomba...
Fursa ya maridhiano ya kisiasa nchini Tanzania baada ya hukumu ya Tundu Lissu
Novemba tarehe 6, Mahakama Kuu jijini Dar es salaam nchini Tanzania, ilimhukumu miaka minne jela Mwenyekiti wa chama cha upinzani CHADEMA, Tundu Lissu, kwa kosa la uchochezi, baada ya kumwondolea kesi ya uhaini...
Vitendo vya wakosoaji wa watawala Afrika Mashariki kutekwa nchini Kenya
Kwa miaka mingi, Kenya imekuwa kama kimbilio kwa wanasisasa wa upinzani na wanaharakati wanaokimbia mataifa yao katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Hata hivyo, hali imebadilika. Wanasiasa na wanaharakati...
Uganda: Mazungumzo kuhusu hatima ya Kizza Besigye
Waziri wa masuala ya Katiba nchini Uganda Norbert Mao, ametangaza kuwepo kwa mazungumzo ili kupata ufumbuzi wa kuendelea kuzuiwa kwa mwanasiasa mkongwe wa upinzani Kizza Besigye, anayekabiliwa na mashtaka ya uhaini....
DRC: Kabila aungana na M23 kuunda vuguvugu jipya la kisiasa na kijeshi
Baada ya kuongoza nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa karibu miaka 20, rais wa zamani Joseph Kabila, ameungana na waasi wa M23 Mashariki mwa nchi hiyo na kuunda vuguvugu jipya la kisiasa na kijeshi linaloitwa...
Posts
No posts yet. Posts Wimbi la Siasa shares on PodSubs, and what it publishes on Substack, YouTube and its own site, will show here.

Subscribe
Be on the front line of the show
Everything Wimbi la Siasa sends its own people, first. Resources, announcements, behind the scenes, events, and giveaways, straight from the host. No account needed.
- The resources the host shares with subscribers
- Announcements before anyone else hears
- Behind the scenes from the team
- Events, invitations, and giveaways
- Only what the host sends, nothing else
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.




































