
Is this your show? Claim this page
PodCred
The people behind this show
People get invited back because someone remembered they were great.
PodCred is the verified record of who made this show. A credit here means people who were there confirmed the work.
Hosts
Who is on this show?
Think of the guest you still think about. The producer who makes the host sound smart. The editor who saves every episode. If a name is missing here, that person is invisible everywhere.
Add a creditEpisodes
24 episodesKenya: Kuchakata Magazeti ili kuunda penseli, mbinu bora ya utunzaji wa mazingira
Nchini Kenya, kundi la wajasiriamali limebuni mbinu ya kipekee ya kubadilisha sekta ya elimu kwa kutumia magazeti ya zamani kutengeneza penseli, huku lengu kuu likiwa kuchangia katika uhifadhi wa mazingira. Kila mwezi,...
Ajenda ya Nishati Safi na Vitendo Badala ya Maneno Zatawala Mazungumzo ya COP31 Uturuki
Katika mkutano wa tabia nchi mwaka huu COP31, jijini Antalya, Uturuki, wadau mbalimbali wamesisitiza dunia kuondoka katika kutoa ahadi na kuanza kuleta matokeo ya haraka na yenye tija. Sayari imekuwa ikikabiliwa na...
Mkutano wa COP17: Hatua Mpya Zazinduliwa Kuokoa Viumbe Hai Duniani kule Armenia
Wakati ulimwengu ukiwa katika njia panda kutokana na kasi ya kupotea kwa viumbe hai na mabadiliko ya tabianchi, mji mkuu wa Armenia, Yerevan, kuanzia Oktoba 19-30 mwaka huu ulikuwa kitovu cha matumaini mapya. Kupitia...
Awamu ya pili: Kongamano la masoko ya kaboni barani Afrika, Kigali
Pamoja na Bwana Zephaniah Kivungi, mkurugenzi wa tabianchi katika shirika la CIFF, tunaendelea na awamu ya pili ambapo nilikuahidi kuangazia ni kwa namna gani tunaweza kuhakikisha kuwa biashara ya kaboni zinawakilisha...
Afrika: Nini nafasi ya masoko ya kaboni katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi
Masoko ya kaboni, yapo kwa ajili ya kuwawajibisha watu na mashirika ambayo shughuli zao zinachangia katika uchafuzi wa hewa, ambapo wanahitajika kugharamia juhudi zinazofanywa na watu mbalimbali au jamii katika...
Posts
No posts yet. Posts Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho shares on PodSubs, and what it publishes on Substack, YouTube and its own site, will show here.

Subscribe
Be on the front line of the show
Everything Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho sends its own people, first. Resources, announcements, behind the scenes, events, and giveaways, straight from the host. No account needed.
- The resources the host shares with subscribers
- Announcements before anyone else hears
- Behind the scenes from the team
- Events, invitations, and giveaways
- Only what the host sends, nothing else
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.




































