
Is this your show? Claim this page
PodCred
The people behind this show
People get invited back because someone remembered they were great.
PodCred is the verified record of who made this show. A credit here means people who were there confirmed the work.
Hosts
Who is on this show?
Think of the guest you still think about. The producer who makes the host sound smart. The editor who saves every episode. If a name is missing here, that person is invisible everywhere.
Add a creditEpisodes
24 episodesDRC na Rwanda zahamishia mvutano katika Francophonie, mkutano wa tabianchi COP31
Rwanda kuwa tayari kuwapokea wahamiaji kutoka nchi 5 za Ulaya, mvutano wa kidiplomasia kati ya DRC na Rwanda ulivyotikisa uchaguzi wa katibu mkuu wa Francophonie, kutamatishwa kwa mkutano wa tabianchi COP31 mjini...
Kundi la FRN lakabiliwa na vikwazo vya UN, mkutano wa COP31 kuendelea Antalya
Umoja wa mataifa waliongeza kundi la waasi la DRC FRN kwenye orodha ya vikwazo, nchini Kenya kupatikana kwa wakili aliyekuwa ametekwa Ahmed Sadiq AbdiAbshir,pia yalitamatishwa mashindano ya Olimpiki, ya vijana...
ADF yaua watu mjini Kantine-Aloya huko DRC, Lisu ahukumiwa miaka minne jela Tanzania
Watu zaidi ya 30 wauawa katika shambulio la ADF kwenye mji wa Cantine-Aloya mashariki mwa DRC; mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alihukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi, nchini Kenya mchungaji...
ADF wajinufaisha na madini huko DRC, maadhimisho ya mwaka1 wa vurugu Tanzania
Na miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na Tanzania kuadhimisha mwaka mmoja baada ya vurugu zilizohusishwa na uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 mkutano wa siki mbili kati ya Urusi na viongozi wa Afrika, jijini...
Watu 11 wakwama katika jengo lililoporomoka jijini Nairobi, hali ya Ebola kuzua wasiwasi
Yaliyojiri wiki hii ni pamoja na watu kadhaa wahofiwa kufukiwa na jengo lililoporormoka mtaani Eastleigh jijini Nairobi nchini Kenya, hali ya sintofahamu yaendelea kuzingira kisa cha ebola kilichoripotiwa nchini Nigeria...
Posts
No posts yet. Posts Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii shares on PodSubs, and what it publishes on Substack, YouTube and its own site, will show here.

Subscribe
Be on the front line of the show
Everything Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii sends its own people, first. Resources, announcements, behind the scenes, events, and giveaways, straight from the host. No account needed.
- The resources the host shares with subscribers
- Announcements before anyone else hears
- Behind the scenes from the team
- Events, invitations, and giveaways
- Only what the host sends, nothing else
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.






































