Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

DRC na Rwanda zahamishia mvutano katika Francophonie, mkutano wa tabianchi COP31
Rwanda kuwa tayari kuwapokea wahamiaji kutoka nchi 5 za Ulaya, mvutano wa kidiplomasia kati ya DRC na Rwanda ulivyotikisa uchaguzi wa katibu mkuu wa Francophonie, kutamatishwa kwa mkutano wa tabianchi COP31 mjini Antalya Uturuki, tutaangazia siasa za DRC, Uganda, na utawala nchini Senegal, unafanya juhudi za kutatua sheria ya bajeti ya ziada baada ya hatua ya kuipitisha bungeni kugonga mwamba; mkutano wa Shenzhen huko China kati ya Trump, Putin na mwenyeji wao Xi Jinping
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

