
Is this your show? Claim this page
PodCred
The people behind this show
People get invited back because someone remembered they were great.
PodCred is the verified record of who made this show. A credit here means people who were there confirmed the work.
Hosts
Who is on this show?
Think of the guest you still think about. The producer who makes the host sound smart. The editor who saves every episode. If a name is missing here, that person is invisible everywhere.
Add a creditEpisodes
24 episodesOlimpiki ya vijana ikitamatika, Raundi ya tatu kufuzu AFCON 2027 imeanza
Leo tutaangazia mashindano ya Olimpiki ya vijana kutamatika jijini Dakar, Senegal, uchambuzi wa raundi ya tatu ya mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2027, fainali ya klabu bingwa Afrika kwa kina dada, AFCON U23,...
Je, Afrika iko tayari kuandaa michezo mikuu ya Olimpiki ya majira ya joto?
Leo kwenye kipindi tunapiga darubini na tathmini ya uwezo wa Afrika kuandaa michezo mikuu ya Olimpiki baada ya kuandaa michezo ya Olimpiki ya vijana kwa mara ya kwanza, tuzo za CAF mwaka huu, klabu ya APR yaondolewa...
DAKAR 2026: Kenya yashinda dhahabu, Burundi yashinda shaba katika wiki ya kwanza
Tuliyokuandalia leo - wiki ya kwanza kwenye michezo ya Olimpiki ya vijana Dakar, Senegal; Kenya yashinda dhahabu Huku Burundi ikishinda shaba. Michuano ya klabu bingwa kwa kina dada Afrika.Tiketi za mechi ya Bayern...
Kenya yatinga nusu fainali kwenye Baseball5 michezo ya Olimpiki ya Vijana
Leo tumeangazia Michezo Ya Olimpiki Ya Vijana Yaingia Siku Ya Pili Jijini Dakar, Senegal, Kwenye mjadala: Uwanja Wa Talanta Kufunguliwa Na Mechi Kati Ya Bayern Munich Dhidi Ya Ajax na Nafasi Ya Mwafrika Kushinda Tuzo La...
Kila unachofaa kufahamu kuhusu michuano ya Olimpiki ya vijana ya 2026
Leo tunazungumzia kuanza kwa mashindano ya Olimpiki ya Vijana jijini Dakar, Senegal, CAF kurejesha AFCON kila ya baada ya miaka miwili, droo ya michuano ya klabu bingwa Afrika, ufunguzi wa uwanja wa Talanta nchini Kenya...
Posts
No posts yet. Posts Jukwaa la Michezo shares on PodSubs, and what it publishes on Substack, YouTube and its own site, will show here.

Subscribe
Be on the front line of the show
Everything Jukwaa la Michezo sends its own people, first. Resources, announcements, behind the scenes, events, and giveaways, straight from the host. No account needed.
- The resources the host shares with subscribers
- Announcements before anyone else hears
- Behind the scenes from the team
- Events, invitations, and giveaways
- Only what the host sends, nothing else
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.




































