Skip to content
PodSubs
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEvents
More
BlogPodCred
Menu
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEventsBlogPodCredNetworksSign in
Join nowSign in
  • Shows
  • People
  • Jobs
  • News
  • More
    • Guests
    • Events
    • Blog
    • PodCred
    • Networks
    Join nowSign in

Jukwaa la Michezo

Jukwaa la Michezo artwork

Kila unachofaa kufahamu kuhusu michuano ya Olimpiki ya vijana ya 2026

Nov 1, 202624 minAudio
ShareXLinkedInFacebookWhatsAppEmail

Leo tunazungumzia kuanza kwa mashindano ya Olimpiki ya Vijana jijini Dakar, Senegal, CAF kurejesha AFCON kila ya baada ya miaka miwili, droo ya michuano ya klabu bingwa Afrika, ufunguzi wa uwanja wa Talanta nchini Kenya wazua gumzo kubwa, Kenya yabanduliwa michuano ya Kombe la Dunia chini ya miaka 17, DRC yaibuka bingwa wa mashindano ya Afrika ya ndondi huku Harry Kane akishinda tuzo la Ballon d'Or 2026 wakati Chelsea na Arsenal zikiaga Kombe la Carabao Cup.

Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Hosts and Guests

Nobody is credited on this episode yet.

Credit the people on this episode

Be the first to rate this episode

More episodes

All episodes
  1. Mkutano Mkuu wa CAF, Raundi ya nne Kufuzu AFCON 2027, Uchaguzi wa FIFA

    Nov 21, 202624 minAudio

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja na yaliyojiri kwenye mkutano mkuu wa CAF wa 48, uchambuzi na matokeo ya raundi ya nne kufuzu michuano ya Afcon 2027, nembo ya michuano hiyo ikitolewa huku makao makuu yakipelekwa Tanzania,...

    Credit the people on this episode

  2. Olimpiki ya vijana ikitamatika, Raundi ya tatu kufuzu AFCON 2027 imeanza

    Nov 15, 202624 minAudio

    Leo tutaangazia mashindano ya Olimpiki ya vijana kutamatika jijini Dakar, Senegal, uchambuzi wa raundi ya tatu ya mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2027, fainali ya klabu bingwa Afrika kwa kina dada, AFCON U23,...

    Credit the people on this episode

  3. Je, Afrika iko tayari kuandaa michezo mikuu ya Olimpiki ya majira ya joto?

    Nov 8, 202624 minAudio

    Leo kwenye kipindi tunapiga darubini na tathmini ya uwezo wa Afrika kuandaa michezo mikuu ya Olimpiki baada ya kuandaa michezo ya Olimpiki ya vijana kwa mara ya kwanza, tuzo za CAF mwaka huu, klabu ya APR yaondolewa...

    Credit the people on this episode

  4. DAKAR 2026: Kenya yashinda dhahabu, Burundi yashinda shaba katika wiki ya kwanza

    Nov 7, 202624 minAudio

    Tuliyokuandalia leo - wiki ya kwanza kwenye michezo ya Olimpiki ya vijana Dakar, Senegal; Kenya yashinda dhahabu Huku Burundi ikishinda shaba. Michuano ya klabu bingwa kwa kina dada Afrika.Tiketi za mechi ya Bayern...

    Credit the people on this episode

  5. Kenya yatinga nusu fainali kwenye Baseball5 michezo ya Olimpiki ya Vijana

    Nov 1, 202624 minAudio

    Leo tumeangazia Michezo Ya Olimpiki Ya Vijana Yaingia Siku Ya Pili Jijini Dakar, Senegal, Kwenye mjadala: Uwanja Wa Talanta Kufunguliwa Na Mechi Kati Ya Bayern Munich Dhidi Ya Ajax na Nafasi Ya Mwafrika Kushinda Tuzo La...

    Credit the people on this episode