
Mkutano Mkuu wa CAF, Raundi ya nne Kufuzu AFCON 2027, Uchaguzi wa FIFA
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na yaliyojiri kwenye mkutano mkuu wa CAF wa 48, uchambuzi na matokeo ya raundi ya nne kufuzu michuano ya Afcon 2027, nembo ya michuano hiyo ikitolewa huku makao makuu yakipelekwa Tanzania, mechi za kufuzu AFCON U23, marufuku ya Peres Jepchirchir, FIFA yatangaza kupokea wagombea watatu kuwania urais mwaka ujao, raundi ya kwanza Kombe la Dunia chini ya miaka 17, ratiba ya robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Ulaya.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.
