
DAKAR 2026: Kenya yashinda dhahabu, Burundi yashinda shaba katika wiki ya kwanza
Tuliyokuandalia leo - wiki ya kwanza kwenye michezo ya Olimpiki ya vijana Dakar, Senegal; Kenya yashinda dhahabu Huku Burundi ikishinda shaba. Michuano ya klabu bingwa kwa kina dada Afrika.Tiketi za mechi ya Bayern dhidi ya Ajax. Nigeria yatinga fainali ya Kombe La Dunia la wasichana chini ya miaka 17. Naibu rais wa FKF Mcdonald Mariga aondolewa katika wadhfa wake. Mshambuliaji wa Tenerife Jesus De Miguel afariki. Cristiano Ronaldo astaafu soka la kimataifa. Ligi Ya Mabingwa Ulaya.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.
