RFI KiswahiliUnclaimed
Host of Jukwaa la Michezo.
1 Feed-stated
Counts Verified and Feed-stated credits: what a show's own feed states, or a confirmation backs. See the record
- Host
Claim this profile Add a creditIs this you? Claiming needs a free account. You sign in or join, then come straight back here.
This profile is unclaimed. PodSubs built it from public show feeds and credits. The person it is about has not reviewed it yet.
PodCred record
PodCred is the verified record of where RFI has worked and appeared. These credits come from the shows' own feeds and wait for people who were there to confirm them.
Worked with RFI on a show? This is where you give them credit.
Shows they work on now
1 show
Is an appearance missing?
People get invited back because someone remembered they were great. If you heard this person on a show and it is not listed here, add it. Your memory might be the reason they get their next invitation.
No account needed. Anyone can give a credit.
Experience, education, skills, and recommendations start empty. They fill in when RFI claims this profile.
Recommendations
No recommendations for RFI yet.
Recommendations open once RFI claims the profile.
Posts
No posts yet. Posts RFI shares on PodSubs, and what RFI publishes on Substack, YouTube and elsewhere, will show here.
Recent episodes
From the shows they work on now
Olimpiki ya vijana ikitamatika, Raundi ya tatu kufuzu AFCON 2027 imeanza
Leo tutaangazia mashindano ya Olimpiki ya vijana kutamatika jijini Dakar, Senegal, uchambuzi wa raundi ya tatu ya mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2027, fainali ya klabu bingwa Afrika kwa kina dada, AFCON U23,...
Je, Afrika iko tayari kuandaa michezo mikuu ya Olimpiki ya majira ya joto?
Leo kwenye kipindi tunapiga darubini na tathmini ya uwezo wa Afrika kuandaa michezo mikuu ya Olimpiki baada ya kuandaa michezo ya Olimpiki ya vijana kwa mara ya kwanza, tuzo za CAF mwaka huu, klabu ya APR yaondolewa...
DAKAR 2026: Kenya yashinda dhahabu, Burundi yashinda shaba katika wiki ya kwanza
Tuliyokuandalia leo - wiki ya kwanza kwenye michezo ya Olimpiki ya vijana Dakar, Senegal; Kenya yashinda dhahabu Huku Burundi ikishinda shaba. Michuano ya klabu bingwa kwa kina dada Afrika.Tiketi za mechi ya Bayern...
Kenya yatinga nusu fainali kwenye Baseball5 michezo ya Olimpiki ya Vijana
Leo tumeangazia Michezo Ya Olimpiki Ya Vijana Yaingia Siku Ya Pili Jijini Dakar, Senegal, Kwenye mjadala: Uwanja Wa Talanta Kufunguliwa Na Mechi Kati Ya Bayern Munich Dhidi Ya Ajax na Nafasi Ya Mwafrika Kushinda Tuzo La...
Kila unachofaa kufahamu kuhusu michuano ya Olimpiki ya vijana ya 2026
Leo tunazungumzia kuanza kwa mashindano ya Olimpiki ya Vijana jijini Dakar, Senegal, CAF kurejesha AFCON kila ya baada ya miaka miwili, droo ya michuano ya klabu bingwa Afrika, ufunguzi wa uwanja wa Talanta nchini Kenya...
Mechi za kufuzu Afcon U20, U17, Olimpiki, Klabu Bingwa Afrika na F1
Mechi za kufuzu Afcon U20, U17 na Olimpiki ya 2028 zinaendelea, Raundi ya pili ya kufuzu mechi za klabu bingwa, Tanzania yabanduliwa kwenye mashindano ya Afcon mchezo wa futsal, CAF na FIFA zaongeza ruzuku kwa wanachama...
Debi la Kariakoo Simba na Yanga, nani atashinda leo, Mkutano wa CAF wa Kimkakati
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na michuano ya kufuzu Afcon U23, U20 na U17, Olimpiki ya LA 2028, yaliyojadiliwa katika mkutano wa kimkakati wa CAF, debi la kariakoo leo usiku kati ya Yanga na Simba, Ligi kuu ya soka...
CAF: Raundi ya pili kufuzu Afcon 2027, Ronaldo aondoka katika kambi ya Ureno
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na uchambuzi wa matukio na matokeo ya raundi ya pili kufuzu michuano ya Kombe la Mtaifa ya Afrika 2027, mechi za kufuzu Afcon U23 na U20, kocha wa Ghana afutwa kazi, Jnr Starlets ya Kenya...
Raundi ya kwanza kufuzu AFCON 2027 imekamilika, Fainali za Netboli na Voliboli
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na matokeo na matukio ya raundi ya kwanza mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2027, fainali za mashindano ya netboli na voliboli Afrika na Cecafa U20, kambi ya Harambee Stars...
Riadha za 2029 zatua Nairobi, ziara ya Motsepe Afrika Mashariki
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Nairobi kushinda haki za kuandaa riadha za dunia mwaka 2029, michuano ya voliboli Kombe la Mataif ya Afrika ya wanaume, golikipa wa Senegal Edouard Mendy anuia kustaafu soka la...
