
Is this your show? Claim this page
PodCred
The people behind this show
People get invited back because someone remembered they were great.
PodCred is the verified record of who made this show. A credit here means people who were there confirmed the work.
Hosts
Who is on this show?
Think of the guest you still think about. The producer who makes the host sound smart. The editor who saves every episode. If a name is missing here, that person is invisible everywhere.
Add a creditEpisodes
23 episodesUfadhili wa Tabianchi: Kwa nini Afrika inataka ruzuku badala ya mikopo?
Mabadiliko ya tabianchi yanaendelea kuwa tishio kubwa kwa uchumi na maisha ya mamilioni ya watu barani Afrika, cha kushangaza ni kwamba, licha ya Afrika kuchangia kwa kiwango kidogo katika uzalishaji wa hewa chafu...
Mkutano wa Urusi na Afrika, Moscow inatafuta nini kwa bara hili?
Mwezi uliopita viongozi kutoka Afrika walisafiri hadi Moscow Urusi kwa mkutano uliolenga kuimarisha ushirikiano baina ya bara hilo na Urusi, hata hivyo swali ambalo watu wengi wanajiuliza ni kwanini Afrika ni kama ina...
Gazeti linapogeuzwa kuwa penseli ya kuandikia
Msikilizaji, je, wajua kuwa gazeti la zamani linaweza kugeuzwa kuwa penseli na wakati huo huo kutoa ajira kwa vijana? Huo ndio ubunifu wa wajasiriamali wawili katika eneo la Athi River nchini Kenya ambao wamegeuza...
DRC: Ufugaji wa nyuki unavyokwamua maisha ya raia wa mji wa Goma
Mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, unaendelea kukabiliwa na changamoto za kiusalama na kiuchumi, huku ukiwa chini ya udhibiti wa waasi wa FRN wanaoongozwa na rais wa zamani Josephu Kabila,...
Afrika kuzindua taasisi ya ukadiriaji mikopo, je itasaidia?
Afrika imezindua rasmi Wakala wa Ukadiriaji wa Mikopo wa Afrika, Africa Credit Rating Agency (AfCRA), hatua inayolenga kushughulikia changamoto za gharama kubwa za mikopo na kuvutia uwekezaji zaidi kwa ajili ya...
Posts
No posts yet. Posts Gurudumu la Uchumi shares on PodSubs, and what it publishes on Substack, YouTube and its own site, will show here.

Subscribe
Be on the front line of the show
Everything Gurudumu la Uchumi sends its own people, first. Resources, announcements, behind the scenes, events, and giveaways, straight from the host. No account needed.
- The resources the host shares with subscribers
- Announcements before anyone else hears
- Behind the scenes from the team
- Events, invitations, and giveaways
- Only what the host sends, nothing else
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.




































