RFI KiswahiliUnclaimed
Host of Gurudumu la Uchumi.
1 Feed-stated
Counts Verified and Feed-stated credits: what a show's own feed states, or a confirmation backs. See the record
- Host
Claim this profile Add a creditIs this you? Claiming needs a free account. You sign in or join, then come straight back here.
This profile is unclaimed. PodSubs built it from public show feeds and credits. The person it is about has not reviewed it yet.
PodCred record
PodCred is the verified record of where RFI has worked and appeared. These credits come from the shows' own feeds and wait for people who were there to confirm them.
Worked with RFI on a show? This is where you give them credit.
Shows they work on now
1 show
Is an appearance missing?
People get invited back because someone remembered they were great. If you heard this person on a show and it is not listed here, add it. Your memory might be the reason they get their next invitation.
No account needed. Anyone can give a credit.
Experience, education, skills, and recommendations start empty. They fill in when RFI claims this profile.
Recommendations
No recommendations for RFI yet.
Recommendations open once RFI claims the profile.
Posts
No posts yet. Posts RFI shares on PodSubs, and what RFI publishes on Substack, YouTube and elsewhere, will show here.
Recent episodes
From the shows they work on now
Ufadhili wa Tabianchi: Kwa nini Afrika inataka ruzuku badala ya mikopo?
Mabadiliko ya tabianchi yanaendelea kuwa tishio kubwa kwa uchumi na maisha ya mamilioni ya watu barani Afrika, cha kushangaza ni kwamba, licha ya Afrika kuchangia kwa kiwango kidogo katika uzalishaji wa hewa chafu...
Mkutano wa Urusi na Afrika, Moscow inatafuta nini kwa bara hili?
Mwezi uliopita viongozi kutoka Afrika walisafiri hadi Moscow Urusi kwa mkutano uliolenga kuimarisha ushirikiano baina ya bara hilo na Urusi, hata hivyo swali ambalo watu wengi wanajiuliza ni kwanini Afrika ni kama ina...
Gazeti linapogeuzwa kuwa penseli ya kuandikia
Msikilizaji, je, wajua kuwa gazeti la zamani linaweza kugeuzwa kuwa penseli na wakati huo huo kutoa ajira kwa vijana? Huo ndio ubunifu wa wajasiriamali wawili katika eneo la Athi River nchini Kenya ambao wamegeuza...
DRC: Ufugaji wa nyuki unavyokwamua maisha ya raia wa mji wa Goma
Mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, unaendelea kukabiliwa na changamoto za kiusalama na kiuchumi, huku ukiwa chini ya udhibiti wa waasi wa FRN wanaoongozwa na rais wa zamani Josephu Kabila,...
Afrika kuzindua taasisi ya ukadiriaji mikopo, je itasaidia?
Afrika imezindua rasmi Wakala wa Ukadiriaji wa Mikopo wa Afrika, Africa Credit Rating Agency (AfCRA), hatua inayolenga kushughulikia changamoto za gharama kubwa za mikopo na kuvutia uwekezaji zaidi kwa ajili ya...
Je, Afrika itapata sauti inayodai katika uchumi wa dunia?
Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, nchi nyingi za Afrika zinakabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni na gharama za juu za kukopa katika masoko ya kimataifa. Fedha nyingi ambazo zingetumika katika afya, elimu, miundombinu na...
Kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu: mwanzo wa mapinduzi ya nishati Afrika Mashariki?
Kenya inaagiza karibu mahitaji yake yote ya bidhaa za Petroli kutoka nje, hii ikiwa na maana kuwa bei na upatikanaji wa mafuta katika nchi hii, na kwa kiasi kikubwa katika ukanda unaweza kuathiriwa na mambo yanayotokea...
Hormuz na Bab el-Mandeb: Njia za baharini zinazotikisa uchumi wa dunia.
Msikilizaji hebu fikiria mafuta unayoweka kwenye gari lako, bidhaa zinazofika kwenye maduka yetu kutoka Asia, mbolea inayotumika kwenye kilimo, au hata gharama ya kusafirisha kahawa na chai kutoka Afrika kwenda masoko...
Maisha mapya: Jinsi akina mama vijana wanavyobadilisha ujuzi kuwa fursa
Nchini Kenya, suala la mimba za utotoni ni changamoto. Kwa mujibu wa ofisi ya Takwimu ya taofa nchini Kenya kupitia utafiti wa mwaka 2022 asilimia 15 ya wasichana wenye umri wa miaka 15 hadi 19 walikuwa wamewahi kupata...
Umeme unaweza kuwa injini ya ukuaji wa uchumi Afrika Mashariki?
Wikendi iliyopita, Tanzania ilizundua rasmi Mradi wa Umeme wa Maji wa bwawa la Julius Nyerere, lenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115. Mradi huu, uliogharimu takribani shilingi trilioni 7.45 za Tanzania sawa na karibu...
