Skip to content
PodSubs
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEvents
More
BlogPodCred
Menu
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEventsBlogPodCredNetworksSign in
Join nowSign in
  • Shows
  • People
  • Jobs
  • News
  • More
    • Guests
    • Events
    • Blog
    • PodCred
    • Networks
    Join nowSign in

Gurudumu la Uchumi

Gurudumu la Uchumi artwork

Maisha mapya: Jinsi akina mama vijana wanavyobadilisha ujuzi kuwa fursa

Sep 9, 202610 minAudio
ShareXLinkedInFacebookWhatsAppEmail

Nchini Kenya, suala la mimba za utotoni ni changamoto. Kwa mujibu wa ofisi ya Takwimu ya taofa nchini Kenya kupitia utafiti wa mwaka 2022 asilimia 15 ya wasichana wenye umri wa miaka 15 hadi 19 walikuwa wamewahi kupata ujauzito. Katika makala ya Gurudumu la Uchumi wiki hii, tunaangazia namna akina mama hawa wanavyogeuza ujuzi, juhudi na fursa za kiuchumi kuwa njia ya kujitegemea na kuwajengea watoto wao maisha yenye matumaini zaidi.

Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Hosts and Guests

Nobody is credited on this episode yet.

Credit the people on this episode

Be the first to rate this episode

More episodes

All episodes
  1. Ufadhili wa Tabianchi: Kwa nini Afrika inataka ruzuku badala ya mikopo?

    Nov 18, 202610 minAudio

    Mabadiliko ya tabianchi yanaendelea kuwa tishio kubwa kwa uchumi na maisha ya mamilioni ya watu barani Afrika, cha kushangaza ni kwamba, licha ya Afrika kuchangia kwa kiwango kidogo katika uzalishaji wa hewa chafu...

    Credit the people on this episode

  2. Mkutano wa Urusi na Afrika, Moscow inatafuta nini kwa bara hili?

    Nov 11, 202610 minAudio

    Mwezi uliopita viongozi kutoka Afrika walisafiri hadi Moscow Urusi kwa mkutano uliolenga kuimarisha ushirikiano baina ya bara hilo na Urusi, hata hivyo swali ambalo watu wengi wanajiuliza ni kwanini Afrika ni kama ina...

    Credit the people on this episode

  3. Gazeti linapogeuzwa kuwa penseli ya kuandikia

    Nov 4, 202610 minAudio

    Msikilizaji, je, wajua kuwa gazeti la zamani linaweza kugeuzwa kuwa penseli na wakati huo huo kutoa ajira kwa vijana? Huo ndio ubunifu wa wajasiriamali wawili katika eneo la Athi River nchini Kenya ambao wamegeuza...

    Credit the people on this episode

  4. DRC: Ufugaji wa nyuki unavyokwamua maisha ya raia wa mji wa Goma

    Oct 21, 202610 minAudio

    Mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, unaendelea kukabiliwa na changamoto za kiusalama na kiuchumi, huku ukiwa chini ya udhibiti wa waasi wa FRN wanaoongozwa na rais wa zamani Josephu Kabila,...

    Credit the people on this episode

  5. Afrika kuzindua taasisi ya ukadiriaji mikopo, je itasaidia?

    Oct 14, 202610 minAudio

    Afrika imezindua rasmi Wakala wa Ukadiriaji wa Mikopo wa Afrika, Africa Credit Rating Agency (AfCRA), hatua inayolenga kushughulikia changamoto za gharama kubwa za mikopo na kuvutia uwekezaji zaidi kwa ajili ya...

    Credit the people on this episode