Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Kenya: Kuchakata Magazeti ili kuunda penseli, mbinu bora ya utunzaji wa mazingira
Nchini Kenya, kundi la wajasiriamali limebuni mbinu ya kipekee ya kubadilisha sekta ya elimu kwa kutumia magazeti ya zamani kutengeneza penseli, huku lengu kuu likiwa kuchangia katika uhifadhi wa mazingira.
Kila mwezi, kiwanda hicho cha MOMO pencils kinachakata zaidi ya tani 5 za magazeti yaliyotupwa, na kuunda penseli, hatua inayosaidia kuokoa zaidi ya miti 85 ambayo ingekatwa ili kutengeneza penseli za mbao.
Nilizuru kiwnda cha MOMO pencils na kuandaa makala yafuatayo ya mazingira leon dunia yako kesho.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

