
Vitendo vya wakosoaji wa watawala Afrika Mashariki kutekwa nchini Kenya
Kwa miaka mingi, Kenya imekuwa kama kimbilio kwa wanasisasa wa upinzani na wanaharakati wanaokimbia mataifa yao katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Hata hivyo, hali imebadilika. Wanasiasa na wanaharakati wanaokimbilia Kenya ili kupewa hifadhi, imegeuka kuwa sehemu ya utekaji. Hivi karibuni, mwanaharakati kutoka Tanzania Twaha Mwaipaya alitekwa na watu wasiofahamika Karibu na Nairobi. Je, Kenya si salama tena kwa wanaharakati? Tunachambua.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

