
Kenya: Kwanini rais Ruto na mtangulizi wake wanatupiana maneno ?
Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2027, vita vya maneno kati ya rais William Ruto na mtangulizi wake, Uhuru Kenya zimeshika kasi. Nini chanzo cha majibizano haya? Victor Abuso anachambua hili kwa kina na Edwin Kegoli, mchambuzi wa siasa na masuala ya sera nchini Kenya.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.
