
Chanzo cha kuzuka kwa vita vipya Kaskazini mwa Ethiopia
Tangu tarehe 23 Septemba, mapigano mapya yameendelea kushuhudiwa Kaskazini mwa Ethiopia, kati ya vikosi vya serikali na wapiganaji wa Tigray. Nini kinaendelea Ethiopia na vita vina vinaweza kuvuka mipaka? Mchambuzi wetu ni Abdullahi Boru, mtalaam wa masuala amani, usalama, haki za binadamu katika eneo la Pembe ya Afrika akiwa Washington DC nchini Marekani.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

