
Suluhu ya njiapanda ya kisiasa nchini Sudan Kusini
Sudan Sudan inakabiliwa na mzozo wa kikatiba na kisiasa, kuelekea uchaguzi mkuu wa kwanza, uliopangwa kufanyika tarehe 22 mwezi Disemba mwaka huu. Rais Salva Kiir, anayetarajiwa kuwania, amebadilisha sheria ya uchaguzi, kwa kuondoa kipengele kuwa uchaguzi huo unatakiwa kufanyika chini ya Katiba mpya na baada ya sensa ya watu. Nini hatima ya kisiasa Sudan Kusini?
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.
