RFI KiswahiliUnclaimed
Host of Siha Njema.
1 Feed-stated
Counts Verified and Feed-stated credits: what a show's own feed states, or a confirmation backs. See the record
- Host
Claim this profile Add a creditIs this you? Claiming needs a free account. You sign in or join, then come straight back here.
This profile is unclaimed. PodSubs built it from public show feeds and credits. The person it is about has not reviewed it yet.
PodCred record
PodCred is the verified record of where RFI has worked and appeared. These credits come from the shows' own feeds and wait for people who were there to confirm them.
Worked with RFI on a show? This is where you give them credit.
Shows they work on now
1 show
Is an appearance missing?
People get invited back because someone remembered they were great. If you heard this person on a show and it is not listed here, add it. Your memory might be the reason they get their next invitation.
No account needed. Anyone can give a credit.
Experience, education, skills, and recommendations start empty. They fill in when RFI claims this profile.
Recommendations
No recommendations for RFI yet.
Recommendations open once RFI claims the profile.
Posts
No posts yet. Posts RFI shares on PodSubs, and what RFI publishes on Substack, YouTube and elsewhere, will show here.
Recent episodes
From the shows they work on now
Wagonjwa wa Kisukari nchini DRC wanalazimika kustahimili ugumu mwingi
Wagonjwa wa Kisukari nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanapata ugumu wa kupata matibabu na lishe kutokana na usalama mdogo mashariki mwa DRC
Wanawake wanavyotumia idadi na ushikamano wao kustawisha afya jamii
Wanawake kupitia mikutano ya kijamii,mikutano ya kirafiki nchini Kenya wanahamasisha kuhusu namna ya kuishi maisha yenye afya ,afya ya uzazi na namni wanaweza kuchangia huduma za afya. Nchini Kenya kundi la wanawake...
Maji ya barafu na kutembea bila viatu inavyotibu mishipa na sonona
Watu wengi wameanza kukumbatia matibabu yasiyo ya dawa kuyatibu baadhi ya matatizo ya kiafya.Miongoni mwa matatizo hayo ni matatizo ya mishipa,viungo na matatizo ya afya ya akili Dkt Hamisi Kote Ali ni mmoja wa...
Unajiandaaje kwa ajili ya dharura za kiafya kutokana na El nino?
Mamlaka za hewa za kimataifa na za kikanda zimezidi kubashiri El nino ya kuvunja rekodi muda wowote kuelekea mwisho wa mwaka huu hadi mwakani.Msimu huo unahofiwa kusababisha mafuriko,uhaba wa chakula na dharura za...
Jinsi matatizo ya uti wa mgongo yanavyotibiwa bila upasuaji au dawa
Matatizo ya uti wa mgongo kwa muda yamekuwa yakitibiwa kwa upasuaji au dawa kali za maumivu pia wagonjwa kupewa vifaa vya kuwasaidia kutembea,kuketi na kusimama Daktari Hamisi Kote Ali mwasisi wa Human Garage jijini...
Kwa nini afya ya akili ni swala muhimu kwa wagonjwa wanaougua magonjwa sugu
Shirika la afya duniani ,WHO limesema watu zaidi ya milioni 150 barani Afrika wana hitaji huduma za afya ya akili. Kutokana na idadi hii inayopanda kila wakati ,watalaam wa afya wanasisitiza wagonjwa walio kwenye...
Kifafa cha mimba bado kinasababisha vifo vingi vya akina mama na watoto Afrika
Kifafa cha mimba hali inayohusishwa na shinikizo kubwa la damu mama anapokuwa mja mzito kuanzia wiki 20 za mimba na inaweza kujitokeza pia pindi mama anapojifungua ,ni hali ya dharura na tishio kubwa kwa akina mama waja...
Wagonjwa wa saratani wanavyochanganya matibabu ya hospitali na mazoezi
Wagonjwa wengi wa saratani mara nyingi huhisi kulemewa na madhara yanayotokana na matibabu makali ambayo wanabidi kutumia kwa muda mrefu. Kurahisisha safari hiyo kituo cha Faraja Cancer Support Trust eneo la Parklands...
Mchakato wa kupatikana chanjo mpya dhidi ya TB kufikia mwaka 2029
Chanjo mpya za kupambana na ugonjwa wa kifua kikuu au TB zitakuwa tayari kufikia mwaka 2029 Hadi sasa chanjo 16 zimekuwa zikifanyiwa majaribio na ikiwa zitaidhinishwa zitaokoa maisha ya watu zaidi ya milioni saba...
Kwa nini kilimo sharti kuzingatiwa kumaliza njaa barani Afrika
Ripoti ya mashirika kadhaa ya umoja wa mataifa yameonesha Afrika bado ina watu wengi ambao wanakabiliwa na njaa. Hii ni licha ya Afrika kuwa sehemu inayofanya kilimo. Watalaam wanasema kilimo kimeathirika na athari za...
