
Wanawake wanavyotumia idadi na ushikamano wao kustawisha afya jamii
Wanawake kupitia mikutano ya kijamii,mikutano ya kirafiki nchini Kenya wanahamasisha kuhusu namna ya kuishi maisha yenye afya ,afya ya uzazi na namni wanaweza kuchangia huduma za afya. Nchini Kenya kundi la wanawake maarufu Iron Ladies kila linapoandaa mikutano yao ya kila baada ya miezi miwili ni lazima kuwa somo kuhusu afya ya uzazi ,usafi kwa kila mwanamke na namna kwa njia moja wanaweza kuchangia kutoa huduma za afya kwa jamii wanazotoka.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.
