
Unajiandaaje kwa ajili ya dharura za kiafya kutokana na El nino?
Mamlaka za hewa za kimataifa na za kikanda zimezidi kubashiri El nino ya kuvunja rekodi muda wowote kuelekea mwisho wa mwaka huu hadi mwakani.Msimu huo unahofiwa kusababisha mafuriko,uhaba wa chakula na dharura za kiafya ,swali ni je wananchi wamejiandaje? Dkt Valerie Nyange anafafanua baadhi ya maandalizi yanayohitajika kabla msimu huo kuanza na hata wakati wa msimu huo. Baadhi ya maandalizi hayo ni kuhakikisha makazi salama ,kuwa na namna ya kuwasiliana na taasisi zinazohusika na huduma za dharura na uhifadhi wa chakula na dawa muhimu.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.
