Skip to content
PodSubs
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEvents
More
BlogPodCred
Menu
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEventsBlogPodCredNetworksSign in
Join nowSign in
  • Shows
  • People
  • Jobs
  • News
  • More
    • Guests
    • Events
    • Blog
    • PodCred
    • Networks
    Join nowSign in

Siha Njema

Siha Njema artwork

Wagonjwa wa Kisukari nchini DRC wanalazimika kustahimili ugumu mwingi

Nov 20, 202610 minAudio
ShareXLinkedInFacebookWhatsAppEmail

Wagonjwa wa Kisukari nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanapata ugumu wa kupata matibabu na lishe kutokana na usalama mdogo mashariki mwa DRC

Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Hosts and Guests

Nobody is credited on this episode yet.

Credit the people on this episode

Be the first to rate this episode

More episodes

All episodes
  1. Wanawake wanavyotumia idadi na ushikamano wao kustawisha afya jamii

    Nov 11, 202610 minAudio

    Wanawake kupitia mikutano ya kijamii,mikutano ya kirafiki nchini Kenya wanahamasisha kuhusu namna ya kuishi maisha yenye afya ,afya ya uzazi na namni wanaweza kuchangia huduma za afya. Nchini Kenya kundi la wanawake...

    Credit the people on this episode

  2. Maji ya barafu na kutembea bila viatu inavyotibu mishipa na sonona

    Nov 3, 202610 minAudio

    Watu wengi wameanza kukumbatia matibabu yasiyo ya dawa kuyatibu baadhi ya matatizo ya kiafya. Miongoni mwa matatizo hayo ni matatizo ya mishipa,viungo na matatizo ya afya ya akili Dkt Hamisi Kote Ali ni mmoja wa...

    Credit the people on this episode

  3. Unajiandaaje kwa ajili ya dharura za kiafya kutokana na El nino?

    Oct 30, 202610 minAudio

    Mamlaka za hewa za kimataifa na za kikanda zimezidi kubashiri El nino ya kuvunja rekodi muda wowote kuelekea mwisho wa mwaka huu hadi mwakani. Msimu huo unahofiwa kusababisha mafuriko,uhaba wa chakula na dharura za...

    Credit the people on this episode

  4. Jinsi matatizo ya uti wa mgongo yanavyotibiwa bila upasuaji au dawa

    Oct 20, 202610 minAudio

    Matatizo ya uti wa mgongo kwa muda yamekuwa yakitibiwa kwa upasuaji au dawa kali za maumivu pia wagonjwa kupewa vifaa vya kuwasaidia kutembea,kuketi na kusimama Daktari Hamisi Kote Ali mwasisi wa Human Garage jijini...

    Credit the people on this episode

  5. Kwa nini afya ya akili ni swala muhimu kwa wagonjwa wanaougua magonjwa sugu

    Oct 13, 202610 minAudio

    Shirika la afya duniani ,WHO limesema watu zaidi ya milioni 150 barani Afrika wana hitaji huduma za afya ya akili. Kutokana na idadi hii inayopanda kila wakati ,watalaam wa afya wanasisitiza wagonjwa walio kwenye...

    Credit the people on this episode