
Jinsi matatizo ya uti wa mgongo yanavyotibiwa bila upasuaji au dawa
Matatizo ya uti wa mgongo kwa muda yamekuwa yakitibiwa kwa upasuaji au dawa kali za maumivu pia wagonjwa kupewa vifaa vya kuwasaidia kutembea,kuketi na kusimama Daktari Hamisi Kote Ali mwasisi wa Human Garage jijini Nairobi,hata hivyo anasema mwili wenyewe unaweza kujitibu. Katika Human Garage Dkt Hamisi anatumia mazoezi maalum ,lishe na vifaa maalum kuwasaidia wagonjwa wake kukwepa upasuaji ,matumizi ya muda mrefu ya dawa.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.
