
Kwa nini kilimo sharti kuzingatiwa kumaliza njaa barani Afrika
Ripoti ya mashirika kadhaa ya umoja wa mataifa yameonesha Afrika bado ina watu wengi ambao wanakabiliwa na njaa. Hii ni licha ya Afrika kuwa sehemu inayofanya kilimo. Watalaam wanasema kilimo kimeathirika na athari za mabadiliko ya tabia nchi kama vile mafuriko,ukame na sasa hivi vijana wengi hawapendi kilimo Hivi basi nini kifanyike kuhakikisha kuwa kuna lishe bora barani Afrika? Dkt Calistus Kundu mkurugenzi wa mamlaka ya kilimo na chakula nchini Kenya anafafanua.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

