United NationsUnclaimed
Host of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu.
1 Feed-stated
Counts Verified and Feed-stated credits: what a show's own feed states, or a confirmation backs. See the record
- Host
Claim this profile Add a creditIs this you? Claiming needs a free account. You sign in or join, then come straight back here.
This profile is unclaimed. PodSubs built it from public show feeds and credits. The person it is about has not reviewed it yet.
About
United hosts Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu.
Written by PodSubs from United's credits.
PodCred record
PodCred is the verified record of where United has worked and appeared. These credits come from the shows' own feeds and wait for people who were there to confirm them.
Worked with United on a show? This is where you give them credit.
Shows they work on now
1 show
Is an appearance missing?
People get invited back because someone remembered they were great. If you heard this person on a show and it is not listed here, add it. Your memory might be the reason they get their next invitation.
No account needed. Anyone can give a credit.
Experience, education, skills, and recommendations start empty. They fill in when United claims this profile.
Recommendations
No recommendations for United yet.
Recommendations open once United claims the profile.
Activity
0 followers
No posts yet. Posts United shares on PodSubs, and what United publishes on Substack, YouTube and elsewhere, will show here.
Recent episodes
From the shows they work on now
20 NOVEMBA 2026
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. Nchini Kenya, shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda UNIDO limechukua hatua kuendeleza viwanda hadi kusaidia wakulima wa migomba kutotupa mashina ya zao hilo...
FAO yaimarisha ufugaji wa samaki na teknolojia ya kilimo nchini Zimbabwe
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Nchini Zimbabwe, ufugaji wa samaki aina ya tilapia na matumizi ya teknolojia ya kidijitali vinawasaidia wakulima kuongeza uzalishaji na kupata masoko mapya. Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO,...
19 NOVEMBA 2026
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Hii leo jaridani tunaangazia simulizi ya manusura ya Usugu dhidi ya viuavijasumu (AMR) nchini Kenya, mauaji ya kimbari ya waRohingya nchini Myanmar, na kilim ona ufugaji endelevu inayohimili mabadiliko ya tabianchi...
“Usugu dhidi ya viuavijasumu AMR hauonekani, lakini mimi ninaonekana” - Manusura John Kariuki
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Usugu dhidi ya viuavijasumu (AMR) au antibiotiki ni tishio lisiloonekana kwa macho, lakini madhara yake yanaweza kugharimu maisha. Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani (WHO) linaonya kuhusu hatari hii inayofanya...
ICJ yasema serikali ya Mynmar ilitekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Warohigya
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Mahakama ya Umoja wa Mataifa kuhusu Haki, (ICJ) imesema kuwa Myanmar ilifanya mauaji ya kimbari dhidi ya jamii ya wachache ya Warohingya jimboni Rakhine. Uamuzi huo, umetolewa leo huko The Hague, Uholanzi na jopo la...
Sitaki kurudi Ethiopia - Mkimbizi Moyale, Kenya
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Leo tunakwenda Moyale eneo lililoko Kaunti ya Masarbit, kaskazini mwa Kenya ambako Assumpta Massoi kupitia video ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani, WFP anatuelezea harakati za Umoja wa Mataifa...
18 NOVEMBA 2026
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambayo leo inakupeleka Moyale eneo lililoko Kaunti ya Masarbit, kaskazini mwa Kenya ambako Assumpta Massoi kupitia video ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula...
17 NOVEMBA 2026
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambayo leo inakupeleka Kigoma, kaskazini magharibi mwa Tanzania kumulika uchakataji wa samaki na dagaa bila kutumia kuni. Lengo ni kulinda mazingira kwa kuepusha ukataji wa...
16 NOVEMBA 2026
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayoangazia silaha za vita zinazojiendesha zenyewe, pamoja na muhtasari wa habari za masuala ya amani na haki za kibinadamu kwa wakimbizi. • Huko Manila, Ufilipino Katibu Mkuu...
Migogoro na milipuko ya magonjwa DRC yazidisha janga la njaa, watu milioni 30.3 hatarini
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Kwa mujibu wa Mfumo wa Umoja wa Umoja wa Mataifa wa tathimini ya viwango vya uhakika wa chakula IPC, hali ya uhaba mkubwa wa chakula inatarajiwa kuwa mbaya zaidi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), watu...
