Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sitaki kurudi Ethiopia - Mkimbizi Moyale, Kenya
Leo tunakwenda Moyale eneo lililoko Kaunti ya Masarbit, kaskazini mwa Kenya ambako Assumpta Massoi kupitia video ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani, WFP anatuelezea harakati za Umoja wa Mataifa za kusaidia wakimbizi hao. Kwako Assumpta.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

