
Kenya yatoa siku 90 kwa wageni wasio na vibali halali kuvitafuta
Serikali ya Kenya, imewatangazia raia wa kigeni wanaoishi nchini humo bila vibali vya kuishi au kufanya biashara, kuvitafuta ndani ya siku tisini. Hii inafuatia kauli ya rais William Ruto, wiki iliyopita, kuagiza operesheni dhidi ya wachuuzi wanaofanya biashara ndogo ndogo nchini humo. Je, hatua hii ya serikali ya Kenya inamaanisha nini na tishio ya utengamano katika Jumuiya ya Afrika Mashariki?
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

