
Kwanini vita vya Marekani na Iran vimeanza tena ?
Marekani na Iran zimeanza tena kushambuliana, na kuzua wasiwasi wa kuendelea kwa vita vilivyoanza mwezi Februari 2026. Mashambulizi haya yamelenga kudhibiti eneo la Bahari ya Hormuz, njia muhimu inayotumiwa na meli zinazosafirisha mafuta na gesi kuelekea katika maeneo mbalimbali ya dunia. Kwanini Marekani na Iran zimeanza tena kushamuliana na hii inamanisha nini?
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

