RFI KiswahiliUnclaimed
Host of Jua Haki Zako.
1 Feed-stated
Counts Verified and Feed-stated credits: what a show's own feed states, or a confirmation backs. See the record
- Host
Claim this profile Add a creditIs this you? Claiming needs a free account. You sign in or join, then come straight back here.
This profile is unclaimed. PodSubs built it from public show feeds and credits. The person it is about has not reviewed it yet.
PodCred record
PodCred is the verified record of where RFI has worked and appeared. These credits come from the shows' own feeds and wait for people who were there to confirm them.
Worked with RFI on a show? This is where you give them credit.
Shows they work on now
1 show
Is an appearance missing?
People get invited back because someone remembered they were great. If you heard this person on a show and it is not listed here, add it. Your memory might be the reason they get their next invitation.
No account needed. Anyone can give a credit.
Experience, education, skills, and recommendations start empty. They fill in when RFI claims this profile.
Recommendations
No recommendations for RFI yet.
Recommendations open once RFI claims the profile.
Posts
No posts yet. Posts RFI shares on PodSubs, and what RFI publishes on Substack, YouTube and elsewhere, will show here.
Recent episodes
From the shows they work on now
Kenya : Haki za waandishi wa habari
Kila mwaka dunia huadimisha siku ya kimataifa ya kumaliza dhuluma na uhalifu dhidi ya wanahabari. Kwenye makala haya tunaangazia haki za mwandishi wa habari kanda ya Africa Mashariki na dunia kwa jumla.
Kenya: Shirika la Xolani lafufua matumaini kwa wasichana katika mitaa ya mabanda
Nchini Kenya shirika la Xolani Women of Hope limekuwa likiwahamasisha kina mama na vijana kuhusu haki za jinsia, ushirika wa vijana na ukatili wa kijinisia. George Ajowi amezungumza na mwanzilishi wa shirika hilo Dorcas...
Kenya : Wakimbizi wakoseshwa amani na sera za rais Donald Trump
Safari ya kuwa mkimbizi si rahisi Skiza makala kufahamu mengi.
Tanzania : Amnesty yatahumu serikali
Katika ripoti ya yake shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty international, limethumu serikali ya Tanzania kwa kufumbia macho wahusika walioshiriki vurugu za kipindi cha uchaguzi mwaka uliopita....
Kenya: Harakati za kupinga mimba za mapema
Lydia Mwenda mwanaharakati mchanga kutoka Kenya, amekuwa mstari wa mbele kupinga mimba za mapema Skiza makala haya kufamu mengi
Africa : Yashinikiza kujumuishwa kutunga sheria za AI
Mataifa ya Africa yamekuwa yakishinikiza kujumuishwa kweney sheria za kudhibiti matumizi za AI, ila ni kwa nini? Skiza makala haya
Kenya : Matumizi ya AI yanazidi kuwa ngumzo duniani
Katika makala haya tunaangazia athari ya matumizi ya AI. Skiza makala
Kenya : Wanaharakati wanashikiza kuachiliwa kwa Kizza Besigye
Wanaharakati nchini Kenya, wamekuwa wakishinikiza kuachiliwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ambaye kesi ya uhaini dhidi yake bado inaendelea. Skiza makala haya kufahamu mengi.
Kenya : Wastaafu wahangaika kupata kiinua mgongo
Kustaafu inafaa kuwa maisha mapya na mema ila wengi hukumbana na wasiotarajia, ikiwa ni pamoja na kubiri kwa muda mrefu kupata hela zao za uzeeni Nchini Kenya, wengi hupata changamoto ya kufuatilia hela zao kutoka...
Kenya : Raia wa Burundi waondoka
Raia wa Burundi wameamua kuondoka nchini Kenya, kufutia kauli ya rais William Ruto kutaka wageni wanaofanya biashara ndogondogo kuwachia wenyeji kazi hizo. Skiza makala haya
