Skip to content
PodSubs
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEvents
More
BlogPodCred
Menu
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEventsBlogPodCredNetworksSign in
Join nowSign in
  • Shows
  • People
  • Jobs
  • News
  • More
    • Guests
    • Events
    • Blog
    • PodCred
    • Networks
    Join nowSign in

Jua Haki Zako

Jua Haki Zako artwork

Kenya : Raia wa Burundi waondoka

Sep 14, 202610 minAudio
ShareXLinkedInFacebookWhatsAppEmail

Raia wa Burundi wameamua kuondoka nchini Kenya, kufutia kauli ya rais William Ruto kutaka wageni wanaofanya biashara ndogondogo kuwachia wenyeji kazi hizo. Skiza makala haya

Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Hosts and Guests

Nobody is credited on this episode yet.

Credit the people on this episode

Be the first to rate this episode

More episodes

All episodes
  1. Kenya : Haki za waandishi wa habari

    Nov 20, 202610 minAudio

    Kila mwaka dunia huadimisha siku ya kimataifa ya kumaliza dhuluma na uhalifu dhidi ya wanahabari. Kwenye makala haya tunaangazia haki za mwandishi wa habari kanda ya Africa Mashariki na dunia kwa jumla.

    Credit the people on this episode

  2. Kenya: Shirika la Xolani lafufua matumaini kwa wasichana katika mitaa ya mabanda

    Nov 19, 202610 minAudio

    Nchini Kenya shirika la Xolani Women of Hope limekuwa likiwahamasisha kina mama na vijana kuhusu haki za jinsia, ushirika wa vijana na ukatili wa kijinisia. George Ajowi amezungumza na mwanzilishi wa shirika hilo Dorcas...

    Credit the people on this episode

  3. Kenya : Wakimbizi wakoseshwa amani na sera za rais Donald Trump

    Nov 9, 202610 minAudio

    Safari ya kuwa mkimbizi si rahisi Skiza makala kufahamu mengi.

    Credit the people on this episode

  4. Tanzania : Amnesty yatahumu serikali

    Nov 2, 202610 minAudio

    Katika ripoti ya yake shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty international, limethumu serikali ya Tanzania kwa kufumbia macho wahusika walioshiriki vurugu za kipindi cha uchaguzi mwaka uliopita....

    Credit the people on this episode

  5. Kenya: Harakati za kupinga mimba za mapema

    Oct 22, 202610 minAudio

    Lydia Mwenda mwanaharakati mchanga kutoka Kenya, amekuwa mstari wa mbele kupinga mimba za mapema Skiza makala haya kufamu mengi

    Credit the people on this episode