
Kenya : Wakimbizi wakoseshwa amani na sera za rais Donald Trump
Safari ya kuwa mkimbizi si rahisi
Skiza makala kufahamu mengi.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Safari ya kuwa mkimbizi si rahisi
Skiza makala kufahamu mengi.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.
Nobody is credited on this episode yet.
Kila mwaka dunia huadimisha siku ya watoto duniani kuangazia haki zao. Skiza maoni ya mskilizaji kuhusu siku hiyo
Waandishi wa habari nchini DRC eneo la Mashariki wamekuwa wakiptia kipindi kigumu tangu waasi wa M23 kuteka miji kadhaa eneo hilo. Skiza makala haya kufamu mengi
Kila mwaka dunia huadimisha siku ya kimataifa ya kumaliza dhuluma na uhalifu dhidi ya wanahabari. Kwenye makala haya tunaangazia haki za mwandishi wa habari kanda ya Africa Mashariki na dunia kwa jumla.
Nchini Kenya shirika la Xolani Women of Hope limekuwa likiwahamasisha kina mama na vijana kuhusu haki za jinsia, ushirika wa vijana na ukatili wa kijinisia. George Ajowi amezungumza na mwanzilishi wa shirika hilo Dorcas...
Katika ripoti ya yake shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty international, limethumu serikali ya Tanzania kwa kufumbia macho wahusika walioshiriki vurugu za kipindi cha uchaguzi mwaka uliopita....