
Kenya: Shirika la Xolani lafufua matumaini kwa wasichana katika mitaa ya mabanda
Nchini Kenya shirika la Xolani Women of Hope limekuwa likiwahamasisha kina mama na vijana kuhusu haki za jinsia, ushirika wa vijana na ukatili wa kijinisia. George Ajowi amezungumza na mwanzilishi wa shirika hilo Dorcas Moraa katika makala ya Jua Haki zao.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

