Skip to content
PodSubs
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEvents
More
BlogPodCred
Menu
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEventsBlogPodCredNetworksSign in
Join nowSign in
  • Shows
  • People
  • Jobs
  • News
  • More
    • Guests
    • Events
    • Blog
    • PodCred
    • Networks
    Join nowSign in

MSASA Podcast

MSASA Podcast artwork

Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY

Aug 16, 20261 hr 19 minAudio

Send us Fan Mail Baada ya kuzungumzia pesa kwenye Episode 1 ya Season 2, sasa tumehamia kwa watafutaji wakuu wa hiyo pesa - vijana. Wanatafuta mkwanja. Wanatafuta kutoka. Wanatafuta kujikwamua. Lakini kwenye safari hii ya kutafuta, kujijenga na kufanikiwa, kitendawili cha kijana kufanikiwa kinatenguliwaje na nani anahusika kutengua? Kwenye Episode yetu ya pili, tuko na Allan Lucky, na anatupiga msasa wa kwa nini kitendawili hiki ni cha kaa kule, nikae huku, tumfinye mchawi. ๐Ÿ˜… Kila mtu kwenye jamii ana nafasi katika kutengua kitendawili cha kijana kufanikiwa - kuanzia familia, malezi, mazingira, mifumo, hadi kijana mwenyewe. Na kama jamii ikifeli kutengua hiki kitendawili, kijana anakuwa na hali gani? Karibu tupate msasa. Guest: Allan Lucky Instagram: / allanlucky #MSASAPodcast #Ujana #TanzanianYouth #YouthDevelopment #YouthEmpowerment #AllanLucky Host: Hisia Instagram: / hisiatz MSASA PODCAST ๐ŸŽ™ Website: https://neiked.co.tz/msasa/ Follow the MSASA Podcast on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... Available on all streaming platforms.

Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Hosts and Guests

Nobody is credited on this episode yet.

Credit the people on this episode

Be the first to rate this episode

More episodes

All episodes
  1. JAMII INAKUJENGA AU INAKUPOTEZA? - MSASA NA MICHAEL KAMUKULU

    Nov 8, 20261 hr 25 minAudio

    Send us Fan Mail Tunakua tukiambiwa tusome, tupate kazi nzuri, tujenge maisha na tufanikiwe. Lakini kwenye safari hiyo, tunawahi kujiuliza kama tunachoendelea kukifukuzia kinaendana na sisi ni nani na kile tulichoumbiwa...

    Credit the people on this episode

  2. SIRI YA UWEKEZAJI BONGO - MSASA NA IMANI MUHINGO

    Oct 25, 20261 hr 8 minAudio

    Send us Fan Mail Kuna kitu kinabadilika kwenye namna Watanzania wanavyofikiria kuhusu pesa na uwekezaji. ๐Ÿ“ˆ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia muamko wa uwekezaji, lakini what does this really tell us about our...

    Credit the people on this episode

  3. UMAARUFU BILA PESA - MSASA NA MZEE SHAYO

    Oct 21, 20261 hr 35 minAudio

    Send us Fan Mail Maisha ya sanaa yana mambo mengi, na kwa bahati mbaya, mengi hatuyaoni mbele ya hadhira. Tunachokiona mara nyingi ni kile tu ambacho mastaa tunaowapenda wanakifanya, na sisi ku-enjoy kazi zao. Lakini...

    Credit the people on this episode

  4. Tunatembea na Hofu ya PESA

    Sep 27, 20261 hr 1 minAudio

    Send us Fan Mail Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakatiโ€ฆ tunaiwazia. Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato...

    Credit the people on this episode

  5. You Can Only Dream to the Level of Your Exposure

    Sep 13, 20261 hr 35 minAudio

    Send us Fan Mail What if you're not dreaming too small, you just haven't been exposed to enough? In this episode of MSASA, we sit down with Lwidiko Edward Mhamilawa, a trained medical doctor who moved from medicine and...

    Credit the people on this episode