Skip to content
PodSubs
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEvents
More
BlogPodCred
Menu
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEventsBlogPodCredNetworksSign in
Join nowSign in
  • Shows
  • People
  • Jobs
  • News
  • More
    • Guests
    • Events
    • Blog
    • PodCred
    • Networks
    Join nowSign in

MSASA Podcast

MSASA Podcast artwork

SIRI YA UWEKEZAJI BONGO - MSASA NA IMANI MUHINGO

Oct 25, 20261 hr 8 minAudio
ShareXLinkedInFacebookWhatsAppEmail

Send us Fan Mail Kuna kitu kinabadilika kwenye namna Watanzania wanavyofikiria kuhusu pesa na uwekezaji. πŸ“ˆπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia muamko wa uwekezaji, lakini what does this really tell us about our economy and where we're headed? Kwenye Episode 6 ya MSASA Podcast, Imani Muhingo anatupa perspective kuhusu mabadiliko ya masoko ya mitaji, ukuaji wa uchumi na opportunities zinazojitokeza Tanzania. Na muhimu zaidi, nafasi ya mtu mmoja mmoja kwenye haya mabadiliko. Karibu MSASANI. πŸŽ™οΈ #MSASAPodcast #ImaniMuhingo #Uchumi #Uwekezaji #MSASAPodcast Host: Hisia Instagram: / hisiatz MSASA PODCAST πŸŽ™ Website: https://neiked.co.tz/msasa/ Follow the MSASA Podcast on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... Available on all streaming platforms.

Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Hosts and Guests

Nobody is credited on this episode yet.

Credit the people on this episode

Be the first to rate this episode

More episodes

All episodes
  1. JAMII INAKUJENGA AU INAKUPOTEZA? - MSASA NA MICHAEL KAMUKULU

    Nov 8, 20261 hr 25 minAudio

    Send us Fan Mail Tunakua tukiambiwa tusome, tupate kazi nzuri, tujenge maisha na tufanikiwe. Lakini kwenye safari hiyo, tunawahi kujiuliza kama tunachoendelea kukifukuzia kinaendana na sisi ni nani na kile tulichoumbiwa...

    Credit the people on this episode

  2. UMAARUFU BILA PESA - MSASA NA MZEE SHAYO

    Oct 21, 20261 hr 35 minAudio

    Send us Fan Mail Maisha ya sanaa yana mambo mengi, na kwa bahati mbaya, mengi hatuyaoni mbele ya hadhira. Tunachokiona mara nyingi ni kile tu ambacho mastaa tunaowapenda wanakifanya, na sisi ku-enjoy kazi zao. Lakini...

    Credit the people on this episode

  3. Tunatembea na Hofu ya PESA

    Sep 27, 20261 hr 1 minAudio

    Send us Fan Mail Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia. Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato...

    Credit the people on this episode

  4. You Can Only Dream to the Level of Your Exposure

    Sep 13, 20261 hr 35 minAudio

    Send us Fan Mail What if you're not dreaming too small, you just haven't been exposed to enough? In this episode of MSASA, we sit down with Lwidiko Edward Mhamilawa, a trained medical doctor who moved from medicine and...

    Credit the people on this episode

  5. You Had So Much Potential What Happened -MSASA NA BRYAN RUSSEL

    Aug 30, 20261 hr 30 minAudio

    Send us Fan Mail People are at the centre of every business, but finding, developing and keeping the right people is a different game altogether. In this episode of the MSASA Podcast, Bryan Russell takes us beyond the...

    Credit the people on this episode