Skip to content
PodSubs
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEvents
More
BlogPodCred
Menu
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEventsBlogPodCredNetworksSign in
Join nowSign in
  • Shows
  • People
  • Jobs
  • News
  • More
    • Guests
    • Events
    • Blog
    • PodCred
    • Networks
    Join nowSign in

MSASA Podcast

MSASA Podcast artwork

UMAARUFU BILA PESA - MSASA NA MZEE SHAYO

Oct 21, 20261 hr 35 minAudio
ShareXLinkedInFacebookWhatsAppEmail

Send us Fan Mail Maisha ya sanaa yana mambo mengi, na kwa bahati mbaya, mengi hatuyaoni mbele ya hadhira. Tunachokiona mara nyingi ni kile tu ambacho mastaa tunaowapenda wanakifanya, na sisi ku-enjoy kazi zao. Lakini nyuma ya pazia, maisha hayana script na kwa asilimia kubwa sana wote tunafanana. Maxwell Wilfred Machange ni mchekeshaji aliyedumu takribani miaka kumi kwenye kiwanda cha sanaa Tanzania. Tumebahatika kupiga naye stori kuhusiana na uchekeshaji na sanaa kwa ujumla. Kwa kweli, MSASA wake umekaa kama wa mwanataaluma wa burudani zaidi ya mchekeshaji tu. Na wewe mtazamaji, jitahidi kuisikiliza episode hii katika sikio la maisha yako na mihangaiko yako ya kila siku, tunaamini utapata MSASA. Karibu MSASANI. ๐ŸŽ™๏ธ #MSASAPodcast #MaxwellWilfred #MzeeShayo #SanaaNaMaisha #Vichekesho #ComedyTanzania #ContentCreators #SwahiliPodcast Host: Hisia Instagram: @hisiatz MSASA PODCAST ๐ŸŽ™ Website: https://neiked.co.tz/msasa/ Follow MSASA Podcast on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... Available on all streaming platforms.

Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Hosts and Guests

Nobody is credited on this episode yet.

Credit the people on this episode

Be the first to rate this episode

More episodes

All episodes
  1. JAMII INAKUJENGA AU INAKUPOTEZA? - MSASA NA MICHAEL KAMUKULU

    Nov 8, 20261 hr 25 minAudio

    Send us Fan Mail Tunakua tukiambiwa tusome, tupate kazi nzuri, tujenge maisha na tufanikiwe. Lakini kwenye safari hiyo, tunawahi kujiuliza kama tunachoendelea kukifukuzia kinaendana na sisi ni nani na kile tulichoumbiwa...

    Credit the people on this episode

  2. SIRI YA UWEKEZAJI BONGO - MSASA NA IMANI MUHINGO

    Oct 25, 20261 hr 8 minAudio

    Send us Fan Mail Kuna kitu kinabadilika kwenye namna Watanzania wanavyofikiria kuhusu pesa na uwekezaji. ๐Ÿ“ˆ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia muamko wa uwekezaji, lakini what does this really tell us about our...

    Credit the people on this episode

  3. Tunatembea na Hofu ya PESA

    Sep 27, 20261 hr 1 minAudio

    Send us Fan Mail Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakatiโ€ฆ tunaiwazia. Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato...

    Credit the people on this episode

  4. You Can Only Dream to the Level of Your Exposure

    Sep 13, 20261 hr 35 minAudio

    Send us Fan Mail What if you're not dreaming too small, you just haven't been exposed to enough? In this episode of MSASA, we sit down with Lwidiko Edward Mhamilawa, a trained medical doctor who moved from medicine and...

    Credit the people on this episode

  5. You Had So Much Potential What Happened -MSASA NA BRYAN RUSSEL

    Aug 30, 20261 hr 30 minAudio

    Send us Fan Mail People are at the centre of every business, but finding, developing and keeping the right people is a different game altogether. In this episode of the MSASA Podcast, Bryan Russell takes us beyond the...

    Credit the people on this episode