
Maadhimisho ya Siku ya kimataifa ya Walimu, kutambua mchango wao katika kujenga jamii
Licha ya hatua zilizopigwa, walimu kwenye nchi nyingi za Afrika wanalipwa mishahara midogo na wanafanya kazi kwenye mazingira magumu. Tunakuuliza je, walimu wanathaminiwa vya kutosha katika jamii yetu?
Nchini mwako hali ikoje na nini kifanyike kuthamini na kuboresha maslahi ya walimu?
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

