
Maoni huru ya waskilizaji wiki hii yakiwemo maswala ya EU na Ebola
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.
Nobody is credited on this episode yet.
Nchini Kenya, mjadala unaendelea baada ya spika wa bunge, spika Moses Masika Wetang'ula, kukiri kwamba kuna mbunge aliyenaswa na kamera za CCT, akiiba simu ya mbunge mwenzake bungeni. Tunakuuliza kitendo kama hiki...
Kenya na DRC zimekubaliana kurejesha uhusiano wa kidiplomasia baada ya miaka mitatu ya mvutano na uhusiano baridi. Je, ni sahihi kwa nchi wanachama wa jumuiya moja kuwa na migogoro? Skiza makala haya.
Mahakama ya usuluhishi wa michezo CAS imerejeshea Senegal ushindi wa AFCON. Skiza makala