
Kenya na DRC zakubaliana kurejesha uhusiano wa kidiplomasia
Kenya na DRC zimekubaliana kurejesha uhusiano wa kidiplomasia baada ya miaka mitatu ya mvutano na uhusiano baridi. Je, ni sahihi kwa nchi wanachama wa jumuiya moja kuwa na migogoro? Skiza makala haya.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

