
Kenya : Mbunge anaswa akiiba simu ya mwenzie bungeni
Nchini Kenya, mjadala unaendelea baada ya spika wa bunge, spika Moses Masika Wetang'ula, kukiri kwamba kuna mbunge aliyenaswa na kamera za CCT, akiiba simu ya mbunge mwenzake bungeni. Tunakuuliza kitendo kama hiki kinatoa picha gani kwa jamii?
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

