Skip to content
PodSubs
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEvents
More
BlogPodCred
Menu
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEventsBlogPodCredNetworksSign in
Join nowSign in
  • Shows
  • People
  • Jobs
  • News
  • More
    • Guests
    • Events
    • Blog
    • PodCred
    • Networks
    Join nowSign in

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho artwork

Kenya: Wanaharakati watoa mapendekezo mapya dhidi ya plastiki zinazochafua mazingira

Sep 14, 202610 minAudio
ShareXLinkedInFacebookWhatsAppEmail

Kenya inakabiliwa na changamoto ya plastiki zinazotumiwa mara moja tu kama vile mifuko inayotumiwa sokoni kupakia mboga ambazo huchangia katika uchafuzi wa mazingira licha ya kupigwa marufuku. Ni Kutokana na hili ambapo wanaharakati wa mazingira wamekuja na mapendekezo mapya ya kukabiliana na tatizo hili, mbali na suluhu la uchakataji. Moja ya matokeo ya mapendekezo haya ni kuiweka Kenya katika nafasi ya uongozi wa kikanda katika uvumbuzi wa mifumo ya kutumia tena bidhaa. Hellen Kahaso Dena kutoka shirika la Greenpeace Africa amechambua swala hilo. Sikiliza zaidi kwa kubofya.

Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Hosts and Guests

Nobody is credited on this episode yet.

Credit the people on this episode

Be the first to rate this episode

More episodes

All episodes
  1. Kenya: Kuchakata Magazeti ili kuunda penseli, mbinu bora ya utunzaji wa mazingira

    Nov 19, 202610 minAudio

    Nchini Kenya, kundi la wajasiriamali limebuni mbinu ya kipekee ya kubadilisha sekta ya elimu kwa kutumia magazeti ya zamani kutengeneza penseli, huku lengu kuu likiwa kuchangia katika uhifadhi wa mazingira. Kila mwezi,...

    Credit the people on this episode

  2. Ajenda ya Nishati Safi na Vitendo Badala ya Maneno Zatawala Mazungumzo ya COP31 Uturuki

    Nov 11, 202610 minAudio

    Katika mkutano wa tabia nchi mwaka huu COP31, jijini Antalya, Uturuki, wadau mbalimbali wamesisitiza dunia kuondoka katika kutoa ahadi na kuanza kuleta matokeo ya haraka na yenye tija. Sayari imekuwa ikikabiliwa na...

    Credit the people on this episode

  3. Mkutano wa COP17: Hatua Mpya Zazinduliwa Kuokoa Viumbe Hai Duniani kule Armenia

    Nov 11, 202610 minAudio

    Wakati ulimwengu ukiwa katika njia panda kutokana na kasi ya kupotea kwa viumbe hai na mabadiliko ya tabianchi, mji mkuu wa Armenia, Yerevan, kuanzia Oktoba 19-30 mwaka huu ulikuwa kitovu cha matumaini mapya. Kupitia...

    Credit the people on this episode

  4. Awamu ya pili: Kongamano la masoko ya kaboni barani Afrika, Kigali

    Oct 26, 202610 minAudio

    Pamoja na Bwana Zephaniah Kivungi, mkurugenzi wa tabianchi katika shirika la CIFF, tunaendelea na awamu ya pili ambapo nilikuahidi kuangazia ni kwa namna gani tunaweza kuhakikisha kuwa biashara ya kaboni zinawakilisha...

    Credit the people on this episode

  5. Afrika: Nini nafasi ya masoko ya kaboni katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi

    Oct 23, 202610 minAudio

    Masoko ya kaboni, yapo kwa ajili ya kuwawajibisha watu na mashirika ambayo shughuli zao zinachangia katika uchafuzi wa hewa, ambapo wanahitajika kugharamia juhudi zinazofanywa na watu mbalimbali au jamii katika...

    Credit the people on this episode