Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Je unafahamu umuhimu wa kuzuia upotevu na uharibifu wa chakula?
Mwaka huu ni maadhimisho ya saba ya siku ya kimataifa ya kutoa hamasisho kuhusu utupaji na upotevu wa chakula, ambao unachangia kati ya asilimia 8-10 ya utoaji wa gesi joto Lengo la maendeleo endelevu nambari 12.3 linalenga kuona dunia ikipunguza upot’evu na uharibufuwa chakula kwa nusu ifikapo mwaka 2030.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

