SBS AudioUnclaimed
Host of SBS Swahili - SBS Swahili.
Host, SBS Swahili - SBS Swahili
1 Feed-stated
Counts Verified and Feed-stated credits: what a show's own feed states, or a confirmation backs. See the record
- Host
Claim this profile Add a creditIs this you? Claiming needs a free account. You sign in or join, then come straight back here.
This profile is unclaimed. PodSubs built it from public show feeds and credits. The person it is about has not reviewed it yet.
About
SBS hosts SBS Swahili - SBS Swahili.
Written by PodSubs from SBS's credits.
PodCred record
PodCred is the verified record of where SBS has worked and appeared. These credits come from the shows' own feeds and wait for people who were there to confirm them.
Worked with SBS on a show? This is where you give them credit.
Shows they work on now
1 show
Is an appearance missing?
People get invited back because someone remembered they were great. If you heard this person on a show and it is not listed here, add it. Your memory might be the reason they get their next invitation.
No account needed. Anyone can give a credit.
Experience, education, skills, and recommendations start empty. They fill in when SBS claims this profile.
Recommendations
No recommendations for SBS yet.
Recommendations open once SBS claims the profile.
Recent episodes
From the shows they work on now
Taarifa ya Habari:Waziri Mkuu Albanese, atumia hotuba yake kwenye mkutano wa APEC kufikisha ujumbe moja kwa moja kwa Rais wa Urusi
Waziri Mkuu Anthony Albanese, ametumia hotuba yake kwenye mkutano wa kilele wa APEC, kuzungumza moja kwa moja na Rais wa Urusi Vladimir Putin kuhusu vita nchini Ukraine.
Yaliyojiri Afrika:Tanzania na Uganda kupunguza gharama za uchukuzi nakuondoa vikwazo vya biashara
Serikali za Tanzania na Uganda zina jadili uwezekano wakupunguza gharama za uchukuzi nakuondoa vikwazo vya biashara kati ya nchi hizo mbili.
Makala Leo:Hatimaye, habari njema kuhusu pengo la malipo kati ya jinsia
Wiki hii, pengo la malipo kati ya jinsia nchini Australia limepungua hadi chini ya asilimia 20 kwa mara ya kwanza, tangu Shirika la Usawa wa Kijinsia Mahali pa Kazi lianze kutoa ripoti zake.
Taarifa ya Habari:Albanese"sitaruhusu mkutano huo wa pande tatu kufunika maslahi ya Australia"
Waziri Mkuu Anthony Albanese ameonekana katika picha ya pamoja na Rais Vladimir Putin wa Urusi katika siku ya ufunguzi wa mkutano wa kilele wa APEC mjini Shenzhen, China.
Yaliyojiri Afrika: Wagonjwa wengi wa Ebola wafia katika vituo vya matibabu DRC
Imeripotiwa kuwa wagonjwa wengi wanao pokea matibabu ya virusi vya Ebola, katika Jamhuri yakidemokrasia ya Kongo wana kufia katika vituo vya matibabu.
Taarifa ya Habari:Waziri wa Hazina"Serikali ya shirikisho haitakubali mapendekezo mbadala kwa mageuzi ya kodi"
Waziri wa Hazina wa serikali ya shirikisho anasema hatakubali mapendekezo mbadala ya wabunge huru na vyama pinzani kuhusu mswada wa mageuzi ya kodi wa chama cha Labor, wala hata badili msimamo kuhusu mabadiliko...
Makala Leo:Kutoka kipaza sauti kilichosalia kuwashwa hadi ulaji wa kuku wa viungo vikali,Albanese anafanya nini ASEAN?
Mkutano wa viongozi wa nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia (ASEAN) ulianza jana Jumatatu na tamati yake ni leo Jumanne, muda mfupi baada ya mkutano wa kilele wa COP31 na kabla ya mkutano wa APEC baadaye wiki hii.
Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yawekeza milioni 88 kutoa mpango wa AUKUS
Serikali ya shirikisho imetangaza dola milioni 88 za ziada ili kukuza, kutoa mafunzo na kudumisha nguvu kazi ya ndani ambayo inasema inahitajika ili kutoa mpango wa AUKUS.
SBS Learn Eng Ep 123 Jinsi yakuzungumzia usiku wakuamkia baada yakuhudhuria sherehe
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu usiku wakuamkia baada yaku hudhuria sherehe?
Yaliyojiri Afrika: Maelfu wakimbia vurugu Ethiopia
Serikali ya Kenya imethibitisha kuwa, kwa sasa inawahifadhi takriban raia Elfu 40,000 ambao wameingia nchini humo kufuatia mapigano katika baadhi ya maeneo Ethiopia.
