Skip to content
PodSubs
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEvents
More
BlogPodCred
Menu
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEventsBlogPodCredNetworksSign in
Join nowSign in
  • Shows
  • People
  • Jobs
  • News
  • More
    • Guests
    • Events
    • Blog
    • PodCred
    • Networks
    Join nowSign in

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili artwork

Taarifa ya Habari:Waziri Mkuu Albanese, atumia hotuba yake kwenye mkutano wa APEC kufikisha ujumbe moja kwa moja kwa Rais wa Urusi

Nov 20, 202614 minAudio
ShareXLinkedInFacebookWhatsAppEmail

Waziri Mkuu Anthony Albanese, ametumia hotuba yake kwenye mkutano wa kilele wa APEC, kuzungumza moja kwa moja na Rais wa Urusi Vladimir Putin kuhusu vita nchini Ukraine.

Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Hosts and Guests

Nobody is credited on this episode yet.

Credit the people on this episode

Be the first to rate this episode

More episodes

All episodes
  1. Yaliyojiri Afrika:Tanzania na Uganda kupunguza gharama za uchukuzi nakuondoa vikwazo vya biashara

    Nov 20, 20267 minAudio

    Serikali za Tanzania na Uganda zina jadili uwezekano wakupunguza gharama za uchukuzi nakuondoa vikwazo vya biashara kati ya nchi hizo mbili.

    Credit the people on this episode

  2. Makala Leo:Hatimaye, habari njema kuhusu pengo la malipo kati ya jinsia

    Nov 20, 202611 minAudio

    Wiki hii, pengo la malipo kati ya jinsia nchini Australia limepungua hadi chini ya asilimia 20 kwa mara ya kwanza, tangu Shirika la Usawa wa Kijinsia Mahali pa Kazi lianze kutoa ripoti zake.

    Credit the people on this episode

  3. Taarifa ya Habari:Albanese"sitaruhusu mkutano huo wa pande tatu kufunika maslahi ya Australia"

    Nov 19, 20265 minAudio

    Waziri Mkuu Anthony Albanese ameonekana katika picha ya pamoja na Rais Vladimir Putin wa Urusi katika siku ya ufunguzi wa mkutano wa kilele wa APEC mjini Shenzhen, China.

    Credit the people on this episode

  4. Yaliyojiri Afrika: Wagonjwa wengi wa Ebola wafia katika vituo vya matibabu DRC

    Nov 19, 20267 minAudio

    Imeripotiwa kuwa wagonjwa wengi wanao pokea matibabu ya virusi vya Ebola, katika Jamhuri yakidemokrasia ya Kongo wana kufia katika vituo vya matibabu.

    Credit the people on this episode

  5. Taarifa ya Habari:Waziri wa Hazina"Serikali ya shirikisho haitakubali mapendekezo mbadala kwa mageuzi ya kodi"

    Nov 17, 202614 minAudio

    Waziri wa Hazina wa serikali ya shirikisho anasema hatakubali mapendekezo mbadala ya wabunge huru na vyama pinzani kuhusu mswada wa mageuzi ya kodi wa chama cha Labor, wala hata badili msimamo kuhusu mabadiliko...

    Credit the people on this episode