RFI KiswahiliUnclaimed
Host of Changu Chako, Chako Changu.
1 Feed-stated
Counts Verified and Feed-stated credits: what a show's own feed states, or a confirmation backs. See the record
- Host
Claim this profile Add a creditIs this you? Claiming needs a free account. You sign in or join, then come straight back here.
This profile is unclaimed. PodSubs built it from public show feeds and credits. The person it is about has not reviewed it yet.
PodCred record
PodCred is the verified record of where RFI has worked and appeared. These credits come from the shows' own feeds and wait for people who were there to confirm them.
Worked with RFI on a show? This is where you give them credit.
Shows they work on now
1 show
Is an appearance missing?
People get invited back because someone remembered they were great. If you heard this person on a show and it is not listed here, add it. Your memory might be the reason they get their next invitation.
No account needed. Anyone can give a credit.
Experience, education, skills, and recommendations start empty. They fill in when RFI claims this profile.
Recommendations
No recommendations for RFI yet.
Recommendations open once RFI claims the profile.
Posts
No posts yet. Posts RFI shares on PodSubs, and what RFI publishes on Substack, YouTube and elsewhere, will show here.
Recent episodes
From the shows they work on now
Changu chako chako changu, utamaduni wa baraza la wazee wa Kijaluo Oct 18 2026
Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili, changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya baraza la wazee wa...
Alliance Francaise ya Kisumu, historia yake na mpango wake wa kukuza sanaa.
Katika Makala haya, mtangazaji wako Ali Bilali aliezuru Kisumu, amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi wa kituo cha utamaduni wa Ufaransa Joshua Kome kuzungumzia historia ya kutuo hicho na mikakati yake kukuza...
Changu Chako Chako Changu: picha ya jiji la Kisumu mbali na maandamano oct 4 2026
Katika makala yetu Jumapili hii tunazungumzia kuhusu picha ya mji wa Kisumu tofauti na inavyozoeleka. Alliance Francaise ya Kisumu imeanda mradi unaoulezea mji wa Kisumu kwa aina tofauti. Kila linapotajwa jila la kisumu...
Changu Chako: Historia ya ngoma ya utamaduni wa kiturkana Sept 20 20269
Makala haya yanazungumzia kuhusu muziki wa tamaduni ya Kiturkana ambao ni kiungo muhimu sana katika maisha ya jamii ya Waturkana, inayopatikana kaskazini-magharibi mwa Kenya. Muziki wao hautumiwi tu kama burudani, bali...
Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wahehe sept 6 2026
Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu. Makala haya hukuletea Historia na tamaduni ya makabila mbalimbali, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletza Historia ya watu wa kabila la...
Changu chako historia ya waswahili wa Burundi harakati za kumtambuwa mswahili sehemu ya 3 Agost 30
Karibu katika makala changu chako chako chako changu Jumapili ya leo nakuletea sehemu ya 3 na ya mwisho ya historia ya waswahili wa Burundi, ambapo sehemu ya mwisho mgeni wetu atatueleza harakati za kumtambuwa mswahili...
Changu Chako: Historia ya waswahili wa Burundi katika harakati za Uhuru agost 23 2026
Karibu katika Makala changu chako chako change, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya historia ya waswahili wa Burundi na...
Changu chako chako changu: Historia ya waswahili wa Burundi Agost 16
Karibu katika Makala haya yanayozungumzia historia ya waswahili wa Burundi. Mntangazaji wako Ali Bilali alikutana na mwanahistoria kutoka Buyenzi Mzee Anzuruni ambae anaeleza kwa kina hapa historia ya waswahili wa taifa...
Historia yaandikwa DRC kwa kuendeshwa baiskeli, ustadi wa tafsiri ya lugha
Makala hii imeangazia mwanariadha na mwendesha baiskeli mashuhuri Miguel Masaisai alivyoandikisha historia kwa kusafiri na baiskeli yake kwa muda wa miezi mitatu kutoka Goma hadi mjini Kinshasa, zaidi ya kilomita 2500...
