Skip to content
PodSubs
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEvents
More
BlogPodCred
Menu
ShowsPeopleGuestsJobsNewsEventsBlogPodCredNetworksSign in
Join nowSign in
  • Shows
  • People
  • Jobs
  • News
  • More
    • Guests
    • Events
    • Blog
    • PodCred
    • Networks
    Join nowSign in

Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu artwork

Historia yaandikwa DRC kwa kuendeshwa baiskeli, ustadi wa tafsiri ya lugha

Aug 8, 202620 minAudio
ShareXLinkedInFacebookWhatsAppEmail

Makala hii imeangazia mwanariadha na mwendesha baiskeli mashuhuri Miguel Masaisai alivyoandikisha historia kwa kusafiri na baiskeli yake kwa muda wa miezi mitatu kutoka Goma hadi mjini Kinshasa, zaidi ya kilomita 2500 kupeleka ujumbe wa amani, na pia ustadi wa tafsiri ya lugha mbali mbali, katika mikutano ya kimataifa inayofanyika sehemu kadhaa duniani

Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

Hosts and Guests

Nobody is credited on this episode yet.

Credit the people on this episode

Be the first to rate this episode

More episodes

All episodes
  1. Changu chako chako changu, utamaduni wa baraza la wazee wa Kijaluo Oct 18 2026

    Oct 18, 202620 minAudio

    Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili, changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni, le Parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya baraza la wazee wa...

    Credit the people on this episode

  2. Alliance Francaise ya Kisumu, historia yake na mpango wake wa kukuza sanaa.

    Oct 13, 202620 minAudio

    Katika Makala haya, mtangazaji wako Ali Bilali aliezuru Kisumu, amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi wa kituo cha utamaduni wa Ufaransa Joshua Kome kuzungumzia historia ya kutuo hicho na mikakati yake kukuza...

    Credit the people on this episode

  3. Changu Chako Chako Changu: picha ya jiji la Kisumu mbali na maandamano oct 4 2026

    Oct 4, 202620 minAudio

    Katika makala yetu Jumapili hii tunazungumzia kuhusu picha ya mji wa Kisumu tofauti na inavyozoeleka. Alliance Francaise ya Kisumu imeanda mradi unaoulezea mji wa Kisumu kwa aina tofauti. Kila linapotajwa jila la kisumu...

    Credit the people on this episode

  4. Changu Chako: Historia ya jij la Kisumu septemba 27 2026

    Sep 27, 202620 minAudio

    Credit the people on this episode

  5. Changu Chako: Historia ya ngoma ya utamaduni wa kiturkana Sept 20 20269

    Sep 20, 202620 minAudio

    Makala haya yanazungumzia kuhusu muziki wa tamaduni ya Kiturkana ambao ni kiungo muhimu sana katika maisha ya jamii ya Waturkana, inayopatikana kaskazini-magharibi mwa Kenya. Muziki wao hautumiwi tu kama burudani, bali...

    Credit the people on this episode