
Taarifa ya Habari:Mvutano kuhusu mbunge wa ibuka kati ya Labor na One Nation
Chama cha Labor kinasema hakijaribu kumshawishi mbunge mpya David Farley aondoke katika chama cha One Nation, licha ya kumpatia mfanyakazi wa ziada anayechukuliwa kuwa wa thamani kubwa na anayelipwa mshahara mnono.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

