
Kenya: Bunge kujadili mswaada wa kudhibiti mitandao
Nchini Kenya, mswaada umewasilishwa bungeni unaolenga kushinikiza mitandao ya kijamii kudhibiti maudhui hasi kuwafikia watoto chini ya umri wa miaka 18, au kutozwa dolla millioni 3 iwapo itakiuka sheria hiyo, hatua kama hii imechukuliwa na bara ulaya Je unahisi hatua hii itafaulu kudhibiti athari za mitandao ya kijamii kwa watoto? Skiza makala.
Audio and video play straight from the show's own hosting. PodSubs stores and serves no media.

